Gaston Yohana
New Member
- May 24, 2024
- 1
- 1
Mim nilikuwa nashauri serikali ianzishe mpango kazi mzurii juu ya kurahisisha upatikanaji wa vitambulisho kwa njia ya mtandaoni(online)ambapo mwananchi ataweza kuweka tarifa zake mtandaoni akiwa mahari popote nchini,ili kupunguza usumbufu wa wananchi kwenda ofisi za nida ambapo muda mwingnee unaweza kwenda ukakuta folenii ila serikali ikianzisha huu mfumo wa online itasaidia kupunguza usumbufu kwa wananchi ambapo mwananchi ataweza kujiandikisha online na kuweka taarifa zake sahihi na kuweza kupata vitambulisho kwa urahisi zaidii
Upvote
2