Saidi malolo
Member
- May 2, 2024
- 17
- 12
Awali ya yote napenda kuwashukuru jamii forum kwa nafasi hii walio tupatia.
Katika miaka mitano mpka ishirini na tano Tanzania mm naona tuandae mpango kazi imara wa kuzuia uchafuzi wa mazingira katika maeneo ya nchi.
Nini nikafanyike
Serikali iwatumia maafisa maendeleo na askari hasa (trafic) katika kuzuia hili kivipi tunajua asakar wa barabarabaran wapo kila mkoa ambapo kila basi likiwa linakarbia kuingia mkoa furani utawakuta hivyo basi unaweza kumtumia hao kuwatangazia abilia kuwa mnaingia mkoa furani karibuni lakini katika mkoa huu ni marufuku kutupa taka hovyo ukionekana unafanya hivyo atua kali zitachukuliwa na mda huo kila mkoa teyari wameshatengeneza sehemu za kuweka taka taka.
Kwa mpango huo abiria kila anapofika mkoa frani anakumbushwa iko kitu lazima ataweka kichwani na cha pili uku mtaani nikuwatumia askar wa migambo ambao wao kazi yao itakuwa si nyingine bari nikumkamata kila raia anayetupa taka hovyo na apelekwi polisi bali analipishwa faini katika iyo faini nusu itaenda kweny kuboresha njia za utunzaji taka na nusu itakuwa anapewa yule mgambo aliyemkamata mchafuzi wa mazingira na kule vijijini vile vile raia akionekana amesafisha shamba kwa kutumia moto anaazibiwa kwa mpango huu tutamalidha au kupunguza uchafuzi wa mazingira.

Upvote
0