Kubwjing
JF-Expert Member
- Aug 2, 2025
- 3,289
- 5,964
Asalaam Aleykhum Warahmatullah
Ndugu zangu naomba kuuliza,
Hivi katika nchi inayojulikana kuwa ya Kidemokrasia na kitovu cha Amani, yaani TANZANIA, Je hakuna haki ya Wananchi wake kuandamana hata kama wana hoja za msingi za kuaddress?
Nimeuliza hilo swali kwasababu kuna baadhi ya Watu wameanzisha mada kutaka watu kutoandamana hata kama ni kwa amani
Hawa watu hawajui kuwa hiyo ni haki ya Raia kikatiba popote Duniani na haivunji Sheria yoyote?
Mzee Mwanakijiji britanicca Nyani Ngabu