Hivi katika nchi inayojulikana kuwa ya Kidemokrasia na kitovu cha Amani, yaani TANZANIA, Je hakuna haki ya Wananchi wake kuandamana hata kama wana hoja za msingi za kuaddress?
Nimeuliza hilo swali kwasababu kuna baadhi ya Watu wameanzisha mada kutaka watu kutoandamana hata kama ni kwa amani