kuna watu huwa wanatumwa kucheck km uchaguzi ni huru na haki ngoja tsbr tuone km wataruhusiwa kuja tzHakuna anayehitajika kupiga kura ili Samia arudi ikulu.
Watalipwa wachache kupanga msitari kwa ajili ya picha na kusambaza ili kuonesha muitikio wa watu. Baada ya hapo yanayofuata yote tiyari yameshakamilika.
Kura yako haina faida yoyote.