Kuandika business plan ni kupoteza muda

Unaongelea Biashara Ipi? Be Serious! Bussness Plan Is Nothing But A Bussness Goals And How To Achieve Them,,,,, ,
 
Kuandika mpango wa biashara ni jambo muhimu sana sababu itakusaidia kuanza biashara yako hatua kwa hatua
tofauti na yule mtu ambae anajianzia tu mana atakuwa leo anafanya hili kesho lingine
akipata changamoto kidogo na biashara anaacha
 
Uko sahihi ingia 'field' kwanza,mtaji ukikua ndio uanze kuandika business plan
 
Mkuu umemaliza kila kitu, Umemuelewa mleta mada vizuri
 

Kwa haya maelezo umefunga mjadala. Kwa ufupi unaitumia vizuri shule yako.

Ni kosa kufikiri ile kuwa na business plan pekee ndio uhakika wa biashara kufanikiwa. Sawa na shirika au kampuni kuwa na strategy, kuwa nayo ni muhimu na jambo zuri sana lakini isipotekelezwa vizuri haitakua mafanikio hayatapatikana.

Ndio maana hata kampuni ya yule mtaalam wa strategy Michael Porter ilifilisika na watu kujiuliza inakuwaje nguli anaesaidia wengine wafanikiwe ameanguka anguko kubwa?
BP ina umuhimu sana, lakini umakini na umuhimu wa kuitekeleza uko pale pale.
 
Munapokosana padogo tu, mtoa mada anazungumzia Professional business plan ni yupo sahihi uwezi eti wewe unamtaji wako 10Mill unataka kufungua mgahawa then ukae chini unaandaa professional business plan ni utaanndaa Business plan lakini ni yamchanganyuo wa ghalama, mayumizi na faida ila sio eti uwandae ile plan professional yenye misingi ya uwandishi unless use unahitaji mkopo, muwekezaji au sponser yoyote hapo itakuhitaji kuandaa professional business plan.

Hitimisho
Ni kweli kuandaa business plan ni kupoteza mud if ikiwa mtajibunao uitaji msaa but plan inayozungumziwa hapa ni professional business plan document.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni wazi hujui/ hujawahi hata kuandika business plan yeyote kwenye genge lako la vitumbua.

Unajua Vipengele vya Market Analysis na financial plan Projections vina kazi gani??
Hata mimi nimehisi hivyo au kama kashawahi basi hajui jinsi ya kuandika.
 
Mkuu umevamia ugali wa watu. Watu wanaishi kwa ulaghai wa kuandika BP mjini. Halafu mtu BP nzima anaandika kwa 50,000. Yaani anagoogle anapata BP ya kuzalisha mende anaedit anakupa wewe eti anzisha kiwanda cha kukamua alizeti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mihemko ya serikali na taasisi zake hakuna b.plan itakayofanya kazi.
..leo kodi ya mabango..
...jana korosho..
...unawekwa ndani..
..mara usafi j.mosi..
..mwenge..


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikiwahi kuunguza milioni tisa kwenye biashara ya vitunguu kwa kufuatisha biz plan.
Biashara ni kuanza na mtaji kiduchu ili kupima kina cha maji.
 
Hahaaaaaaa ndio maana kuna watu wamekuwa wakali sana humu ndani,Ni hii ndio maana maskini wameendelea kuwa maskini wakutupwa,Kwa sababu wanafundishwa kufanya vitu ambavyo haviwezi kukuza biashara zao hata kidogo.. Wenye Akili Tunaelewana haraka sana,Ila walio kalili hawawezi kuelewa kabisaaa.
 
Nikiwahi kuunguza milioni tisa kwenye biashara ya vitunguu kwa kufuatisha biz plan.
Biashara ni kuanza na mtaji kiduchu ili kupima kina cha maji.
Kiukweli B.plan haina uhalisi wa ukweli kwenye biashara, B.plan ni kama kula BigG mwanzo tamu mwishoni Inabaki mpira tu,Biashara ni kuanza then jiimalishe katika Marketing skills na Sales methods tu.
Matajiri tushaelewana,Maskini bado wapo gizani..
 
Hata mimi nimehisi hivyo au kama kashawahi basi hajui jinsi ya kuandika.
Hata mbuyu ulianza kama mchicha,ila mchicha haujawai kuwa mbuyu,..Endelea KUHISI.. Alafu Dec tulete bank statement zetu hapa.. za wewe Muandika B.plan, Nasisi Tunaosema kuandika B.plan ni UZWAZWA
 
Kweli mkuu!!!Biashara ni vitendo,mbwembwe kibaaaaaaaoooooooo hazisaidiiiiiiii.
 
Business plan ni muhimu sana itakusaidia kwanza kukimbia au kama sio kupunguza hasara ya biashara yako pia itakusaidia kwenye uendeshaji wa biashara na strategy ambazo utaitaji kutumia kupata hiyoo faidi kwa upande wangu pia imenifanya kupata mikopo na kujenga uaminifu kwa financial donors ambao wataitaji kuinvest au kunikopesha pesa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nadhani biznes plan yenyewe hujui ni nini? Biznes plan haikufanyi wewe usifel, vile vile in biznes hua tuna assume physical factors remains constant hii labda ndo sababu ya watu wengi kufeli but biznes plan ina faida yake. Ndege zetu zileee

Nani ananifahamu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…