Kuandika jina feki la mpenzi wako, inaashiria nini?

Kuandika jina feki la mpenzi wako, inaashiria nini?

Mimtamu

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2012
Posts
368
Reaction score
105
Mi naamini 90% ni Kukosa uaminifu na kuwa na wapenzi zaidi ya mmoja. Wewe je! unadhani ni nini?
 
Inaashiria ni 1/(mapenzi ya dhati)... Au ni (mapenzi ya dhati)^-1...
 
Mimi na amini ni 100% dalili za kukusa uaminifu
 
Hadithi bila uongo haiendi. Mapenzi=Hadithi=Uongo.
 
mimi ninafikiri kuna kitu kinafichwa hapo ila cwez kusema hakupend kwa dhat kama wengne walivyo make desition ila there is reason
 
Back
Top Bottom