Mimtamu JF-Expert Member Joined Jan 27, 2012 Posts 368 Reaction score 105 Jan 29, 2012 #1 Mi naamini 90% ni Kukosa uaminifu na kuwa na wapenzi zaidi ya mmoja. Wewe je! unadhani ni nini?
Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,009 Reaction score 60,629 Jan 29, 2012 #2 Inaashiria mapenzi yako kwake ni FEKI.
Mtalingolo JF-Expert Member Joined Aug 4, 2011 Posts 2,181 Reaction score 410 Jan 29, 2012 #3 Inaashiria ni 1/(mapenzi ya dhati)... Au ni (mapenzi ya dhati)^-1...
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 94,296 Reaction score 122,540 Jan 29, 2012 #4 Kuandika jina feki wapi?
A Ave Ave Maria JF-Expert Member Joined Apr 22, 2011 Posts 10,707 Reaction score 5,678 Jan 29, 2012 #5 Dah.....funguka vizuri basi ndugu!!
Mimtamu JF-Expert Member Joined Jan 27, 2012 Posts 368 Reaction score 105 Jan 29, 2012 Thread starter #6 Nyani Ngabu said: Kuandika jina feki wapi? Click to expand... kwenye phonebook
kikwakwa Senior Member Joined Dec 20, 2011 Posts 105 Reaction score 12 Jan 29, 2012 #7 Lizzy said: Inaashiria mapenzi yako kwake ni FEKI. Click to expand... lizzy huwa unanifurahisha sana mana huwa hukosei katika ushauri.:lol:
Lizzy said: Inaashiria mapenzi yako kwake ni FEKI. Click to expand... lizzy huwa unanifurahisha sana mana huwa hukosei katika ushauri.:lol:
arabianfalcon JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 2,285 Reaction score 584 Jan 29, 2012 #8 Inaashiria mko wengi iili msijuane mkaleta zogo.
T TUMY JF-Expert Member Joined Apr 22, 2009 Posts 705 Reaction score 93 Jan 29, 2012 #9 Mimi na amini ni 100% dalili za kukusa uaminifu
The Bleiz JF-Expert Member Joined Jan 7, 2012 Posts 5,070 Reaction score 13,511 Jan 29, 2012 #10 Inaashiria aliye'seviwa hivyo naye ni feki, stuka...
MESTOD JF-Expert Member Joined Nov 12, 2010 Posts 4,798 Reaction score 2,006 Jan 29, 2012 #11 Hadithi bila uongo haiendi. Mapenzi=Hadithi=Uongo.
MUREFU JF-Expert Member Joined Oct 1, 2010 Posts 1,331 Reaction score 352 Jan 29, 2012 #12 mimi ninafikiri kuna kitu kinafichwa hapo ila cwez kusema hakupend kwa dhat kama wengne walivyo make desition ila there is reason
mimi ninafikiri kuna kitu kinafichwa hapo ila cwez kusema hakupend kwa dhat kama wengne walivyo make desition ila there is reason