Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Mkuu kuna upande upi na upiInapendeza sana kuona wenyewe kwa wenyewe wanaumbuana hadharani na kutaka kuungwa mkono na CHADEMA kila upande kwa kwa wakati wake, inafurahisha sana!!
Mwendazake Vs Mama!!Mkuu kuna upande upi na upi
PweintiWanajua mnavyofurahia matukio.
Mikamba ni mpuuzi tuMwendazake Vs Mama!!
Huoni jinsi Makamba anavyoshambuliwa?
Anashambuliwa au Anashambulia?Mwendazake Vs Mama!!
Huoni jinsi Makamba anavyoshambuliwa?
Vita vya kunguru furaha ya panzi π πInapendeza sana kuona wenyewe kwa wenyewe wanaumbuana hadharani na kutaka kuungwa mkono na CHADEMA kila upande kwa kwa wakati wake, inafurahisha sana!
π πChama Cha mboga mboga hakina dira