Kuangalia mechi inayopigwa Azam Complex Atleast inavutia

Darmian

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2017
Posts
17,289
Reaction score
46,624
Ligi yetu tunaambiwa inakuwa kwa kasi lakini aisee nikiangalia mechi ambayo haipigwi Azam complex huwa sioni mvuto wowote..

Tuwekeze kwenye viwanja aisee...Kwa Mkapa hadi leo hamna hata tv screens za matangazo pembezoni..tuko serious kweli?..Taa za kuunga unga,aibu tupu.


Uzi tayari..shots kadhaa za grants kichwani.
 
sure mkuu,
leo nimeangalia pia game ya singida bs, pitch ni nzuri ila uwanja kwa ujumla hawajaukarabati........

sijui kuukarabati ule uwanja na kuweka majukwaa mazuri (kama aliyoweka azam) inagharimu kiasi gani..... sidhani kama inafika hata 1b......
 
Watu hawajawa tu serious na uwekezaji.

Huwezi kuwa na ligi bora huku mpira unapigwa kwenye mapagale ya mpunga..

Watu waige Azam walichofanya.
 
B1 si mchezo, na hata akitokea mfadhili bado watu wataipiga na kuweka kituko tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…