Bess
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 547
- 656
Kuangalia pono husababisha yafuatayo:
1. Pre-ejaculation ama kumwaga kabla ya dakika ya kutakiwa kufanya hivyo. Hii husababisha kutopata watoto ama kutomridhisha mwenzi
2. Husababisha ndoto nyevu na pale semen inapotakiwa kusababisha mimba basi huwa ina mbegu dhaifu
3. Mtu huyu huathirika afya ya akili, hawez kufikiria vizur kwa undani wa jambo fulani. Akiona kila mwanamke hafikirr fursa yoyote kutoka kwake bali hufikir ngono tu
4. Mapepo ya ngono humuandama, na dalili moja wapo wa kuwa na hizi spirits ni asilimia zaid ya 50 kuwaza ngono badala ya shughuli za maendeleo
5. Wakati aina za magonjwa mengine hutibiwa kwa medication, kuangalia pono husababisha ugonjwa wa akili ambao hauna matibabu bali ni kuacha na ukishindwa OKOKA umpe Yesu maisha yako. Yeye kwa kuwa alihisika kwenye uumbaji, atakuumba upya na kurudisha hali yako ya awali