Kuangalia pono ni hatari kuliko kimelea cha ugonjwa

ultracrepidarian ni mtu ambae ana tabia ya kutoa ushauri au kueleza vitu ambavyo hata havijui.

Pre ejaculation ndo nini?
Pre inamaanisha 'before', ejaculation unaeza google kupata maana

Ejaculate kabla ya insertion
 
Siku hizi unavipimo vya kupima IDs nakutolea ripoti ?
Sasa kama kila wazo la maana unalofikir una connect na ngono kuna haja ya kipimo?
Nadhan vipimo Tunapima vitu physical tu mzee
Vingine tunakadiria
 
Sasa kama kila wazo la maana unalofikir una connect na ngono kuna haja ya kipimo?
Nadhan vipimo Tunapima vitu physical tu mzee
Vingine tunakadiria

Jitahidi ule na kunywa maji mengi
 
yesu alihusika kwenye uumbaji ? na yeye yesu aliumbwa na nani ? adamu na yesu nani alitangulia nani alimuumba adam kama yesu alihusika kwenye uumbaji? nani alimuumba abraham wakati abraham alikuwepo kabla ya yesu. rudi ukasome
 
Chochote kile tukifanyacho duniani kina faida na hasara so usiegemee upande mmoja tu
 
yesu alihusika kwenye uumbaji ? na yeye yesu aliumbwa na nani ? adamu na yesu nani alitangulia nani alimuumba adam kama yesu alihusika kwenye uumbaji? nani alimuumba abraham wakati abraham alikuwepo kabla ya yesu. rudi ukasome
Nadhani anzisha uzi mwingine jukwaa la dini kama lipo
 
Na yapi ni madhara ya vimelea vya ugonjwa ??
 
Umeanza vzur, lakn ulpoanza tu kuongelea habar za yesu ndiyo umeharibu kabsa.

Matatzo ya saikolojia hutibiwa kitabibu ikiwepo ushauri nasaha, mazoezi ya akili&meditation, lamwisho kabsa ni kuoa ama kujikeep busy.

Hizo iman za kidin hazijawai kuwa suluhisho kwa matatzo haya, na ndiomaana magenge ya walokole huwakut mahospitaln kufanya maombi.

Tafuteni elimu kwa bidii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…