Kuangalia selected program, swali

Kuangalia selected program, swali

UNAWEZA TAMANI KUISAMBALATISHA TCU,MAANA MIM CWAELEWI KWA KWELIIIIIIIIII,WANATAKA WATU TUJIUNGA VYUONI TUWE NA VIDONDA VYA TUMBOOOOOOOOOOOO?:wave:
 
Hawa tcu kama vipi hizo selections wakaenazo wenyewe aaaah!
I hate u tcu
 
Hapana labda itakuwa kuna taarifa mpya wanataka kuziweka na ndo maana inakuwa hivyo au mtandao wao Una problems
 
punguzen presha wadogo zngu! hi ndo tz apo bado heslb ujajua una%ngap!! kujachuo so mchzo.Na wale watakao kuja udsm watachiWONA.coz mambo cvo mnavodhan
 
punguzen presha wadogo zngu! hi ndo tz apo bado heslb ujajua una%ngap!! kujachuo so mchzo.Na wale watakao kuja udsm watachiWONA.coz mambo cvo mnavodhan

Bro #hamis jaribu kuingia special thread ya campus life ili uweze kutufumbua macho sisi wadogo zenu kuhusu maisha halisi ya vyuoni....nashukuru
 
Mpaka viongoz ni wasanii!! Xjui watoto washapata admxion zao mdo walala tufyonzwe damu!!! GOD KNOWS!!
 
UNAWEZA TAMANI KUISAMBALATISHA TCU,MAANA MIM CWAELEWI KWA KWELIIIIIIIIII,WANATAKA WATU TUJIUNGA VYUONI TUWE NA VIDONDA VYA TUMBOOOOOOOOOOOO?:wave:

nyie mlikuwa wapi wakat airtel wanatoa matokeo m nlvyoona ktk jf nikachukua lain yng then nkapga kwl nkakuta chuo nlchopangiwa
 
jaman hapa mwenzenu nmeambiwa watu wamepata selection zao, bt mizinguo kwangu. Airtel hata menu niliyoambiwa haitak kufunguka. Web tcu haionesh jaman! Msaada hapa plz
 
jaman hapa mwenzenu nmeambiwa watu wamepata selection zao, bt mizinguo kwangu. Airtel hata menu niliyoambiwa haitak kufunguka. Web tcu haionesh jaman! Msaada hapa plz

Airtel baaada ya kuona wa2 wanaoifungua ni wengi pita kiasi wakabidi waitoe admisssion za wa2 so sasa hivi ni kususbiri TCU tu wayatoe katika web yao ...
 
Back
Top Bottom