Kuanguka kwa Diamond na kupaa kwa Davido

Kuanguka kwa Diamond na kupaa kwa Davido

iron finger

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2011
Posts
358
Reaction score
220
Bandiko hili lisichukuliwe vibaya na team ya WCB ambao mara zote wanapenda kutoambiwa ukweli bali liwe kama changamoto ya kuwafanya wamshauri msanii wao arudi kwenye right track ili aokoe career yake ambayo inapotea kimataifa.

Kushuka kwa Diamond na kupaa kwa Davido ni suala la kushangaza kwani mwaka 2014/2015/2016 Diamond alikuwa juu sana kimziki akifanya collabo na wasanii kadhaa wa Afrika pia akiwa na hit song zilizomfanya awe Africa mogul kama wimbo wa Nana,ukiacha collabo na hit song zilizotikisa Africa, Diamond pia alifanya show kubwa sana zilizojaza watu katika maeneo mbalimbali ya Africa na Europe.

Inasemakana kipindi hicho ratiba ya Mond ilikuwa booked Almost the whole year, kumkuta bongo Mond ilikuwa ni shida kila mtu alitamani kufanya nae collabo kila nchi ilitamani akafanye show. Kwa upande wa swahiba yake Davido yeye kimziki alishuka ni kama Mond alipoteza nyota yake kimziki na pia kuibuka kwa wasanii wapya Kama Tekno miles na Wizkid kulimshusha chart ilifikia hatua ya Davido kufikiria kuacha mziki kutokana na stress.

Lakini kwa takwimu za sasa zinaonyesha kinyume kwani Diamond ameshuka kwa anguko kubwa sana kama bei ya utumbo wakati Davido amerudi on top of the game. Wakati Diamond aliyekuwa star anayeibuka Africa anaimba nyimbo za matusi na kina Rayvan, kubadili wanawake kila mwaka, na kushindana na basata,Davido yeye anafanya show Kubwa 02 Arena London inayojaza washabiki 20k.

Je, Diamond amekubali kuachana na soko la mziki la kimataifa?
 
Usingeweka mipasho sawa . Hapo "kwenye bei ya utumbo" Duuuuuh hii inaonyesha wewe ni demu wa Ray van uliepigwa chini sasa umekuja kumalizia hasira zako hapa. Ushauri tu ungana na wajane wenzio wakina wema, mama tifa, mobeto mtoe singo ushindane na Davido na wewe.
 
bei ya utumbo sio matusi ni mfano unaofaa
 
Hahahah jamani Diamond hajawahi kua mogul kwa Afrika.

Hebu mwaka wowote ambao wewe unaamini alikua mogul angalia wimbo wake upi ulikua na mafanikio halafu linganisha na wimbo hit wa Davido wa kipindi hicho.

Kisha hiyo miaka unayosema alikua mogul angalia alikua ana tuzo ngapi za kimataifa.

Tuishi uhalisia. Kumlinganisha mtu na mtu mwenye jet ni kutafuta muda wa mchana uwah tule tusubiri jioni.
 
Wewe una hata baiskeli?
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Usingeweka mipasho sawa . Hapo "kwenye bei ya utumbo" Duuuuuh hii inaonyesha wewe ni demu wa Ray van uliepigwa chini sasa umekuja kumalizia hasira zako hapa. Ushauri tu ungana na wajane wenzio wakina wema, mama tifa, mobeto mtoe singo ushindane na Davido na wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe una hata baiskeli?
Sina dada yangu.
Google_20190131_131421.jpeg
 
Kwa nini TZ yetu kila kitu ni Yanga vs Simba? Hizi timu 2 kuna haja ya kuzifuta zimeathiri maisha ya Watanzania kupita kiasi!
 
Umeandika upumbavu nilizani una point kumbe sifuri bin sufuri.
.
Yani davido aliwahi kuzidiwa na diamond loh!
 
kwani diamond na davido nani katangulia kuwa star.Diamond sasa kawekeza kwenye biashara maana kaona umri umeanza kwenda na mazingira ya muziki hapa bongo yamebadilika
 
Inawezekana una point lakini hoja yako inamezwa na uwasilishaji ulikuwa dhaifu!

Umeweka mihemko, na kuonekana kumkandia chibu, Mara utumbo, Mara anaimba na kina rayvan n.k!

All in all, Kuna ukweli diamond kadrop kimataifa , hayuko juu Sana, shida iko wapi aachane na ile management ilojaa uswahili atafute nyingine ikiwezekana wasiwe wazawa ?

Kudrop kwa msanii management inahusika kwa asilimia kadhaa,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza diomond hajawahi kuwa juu ya davido
Pili wizkid kachomoka mapema ya davido

Tatu hakuna msanii wa kuwa kwenye top mda wote. Mziki ni kama Maisha kuna mwaka wa hasara na wa faida hata Huyo davido kuna mwaka huwa unapita kila ngoma akitoa zinadunda

Kwahiyo bas huwez kuwa kwenye top mda wote. Diomond kushuka kimataifa kwa mwaka huu siyo kitu kigen kwenye music ni jambo la kawaida sana ambalo hutokea kwa wasanii wakubwa kama akina drake, lily Wayne na wengine wengi

LONDON BOY

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom