Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee baba umemaliza kila kituNinachokiona kwa Diamond ni hiki
1.Ameanzisha recording label ya Wasafi na kusajili wasanii ambacho ni kitu kizuri tu ila shida inakuja kuwa wasanii alionao anawatreat very fair business wise kiasi ambacho inampa shida kubalance new track releases.
2.Ndani ya kundi lao LA Wasafi .Diamond ameshindwa kutoka nje ya mawazo ya kimuziki ya akina mboso,rayvany na lavalava kiasi ambacho hakuna kipya katika Muziki wao kwani kila Siku Maneno ni yaleyale pia wapo ki matusi zaidi huku wakijidangaya kuwa wanaburudisha.Diamond anatakiwa kuwaza nje ya box LA hawa watoto wake kimuziki.
3.Diamond haamini kuwa anaweza kusimama yeye kama yeye na akafanya kazi nzuri inayokubalika Afrika nzima.The way alivyoanza kwa collabo ikamfanya maarufu bado jamaa haamini kuwa anaweza kutoa hit song bila collabo ya staa WA Naija.Hili no tatizo
4.Diamond ana menejimenti iliyokaa kiswahili sana licha ya kuwa inafanya vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
ngoja niangalie kwenye kumbukumbu zangu kama kuna siku mond kawai kuwa juu ya davido.
AhahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahajajajSina dada yangu.View attachment 1009373
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sina dada yangu.View attachment 1009373
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mambo ya google hayo daahSina dada yangu.View attachment 1009373
Wasafi buku 7 watakuraruaBandiko hili lisichukuliwe vibaya na team ya WCB ambao mara zote wanapenda kutoambiwa ukweli bali liwe kama changamoto ya kuwafanya wamshauri msanii wao arudi kwenye right track ili aokoe career yake ambayo inapotea kimataifa.
Kushuka kwa Diamond na kupaa kwa Davido ni suala la kushangaza kwani mwaka 2014/2015/2016 Diamond alikuwa juu sana kimziki akifanya collabo na wasanii kadhaa wa Afrika pia akiwa na hit song zilizomfanya awe Africa mogul kama wimbo wa Nana,ukiacha collabo na hit song zilizotikisa Africa, Diamond pia alifanya show kubwa sana zilizojaza watu katika maeneo mbalimbali ya Africa na Europe.
Inasemakana kipindi hicho ratiba ya Mond ilikuwa booked Almost the whole year, kumkuta bongo Mond ilikuwa ni shida kila mtu alitamani kufanya nae collabo kila nchi ilitamani akafanye show. Kwa upande wa swahiba yake Davido yeye kimziki alishuka ni kama Mond alipoteza nyota yake kimziki na pia kuibuka kwa wasanii wapya Kama Tekno miles na Wizkid kulimshusha chart ilifikia hatua ya Davido kufikiria kuacha mziki kutokana na stress.
Lakini kwa takwimu za sasa zinaonyesha kinyume kwani Diamond ameshuka kwa anguko kubwa sana kama bei ya utumbo wakati Davido amerudi on top of the game. Wakati Diamond aliyekuwa star anayeibuka Africa anaimba nyimbo za matusi na kina Rayvan, kubadili wanawake kila mwaka, na kushindana na basata,Davido yeye anafanya show Kubwa 02 Arena London inayojaza washabiki 20k.
Je, Diamond amekubali kuachana na soko la mziki la kimataifa?
Kula tano jombaaaSina dada yangu.View attachment 1009373
Hajawai but angalau they were measured in the scalengoja niangalie kwenye kumbukumbu zangu kama kuna siku mond kawai kuwa juu ya davido.
Hii ni kali sana mkuu [emoji41]Sina dada yangu.View attachment 1009373