Kuanguka kwa jengo

Kuanguka kwa jengo

DEKABOY

Member
Joined
Jun 28, 2012
Posts
38
Reaction score
7
Jamani wana JF wenzangu naomba information kuhusu kuanguka kwa jengo la kariakoo hapo majuzi.
 
Engineer ni msomi kutoka udsm mkuu sasa hili jengo la tatu kuanguka huku engineer akiwa graduate wa udsm
 
Engineer ni msomi kutoka udsm mkuu sasa hili jengo la tatu kuanguka huku engineer akiwa graduate wa udsm

Hebu fuatilia kwanza usiwadanganye watanzania maana kuanguka kwa jengo sio swala la engineer anayesimamia tu.
 
Back
Top Bottom