Elections 2010 KUANGUSHWA: Jinsi Samwel Sitta alivyotoswa kwenye Uspika



Hivi huyu Lowassa hakika ni Mjumbe wa hii Kamati Kuu? Sidhani. Na Sumaye mbona hayumo?
 
Wewe bwana hii kamati umeitoa wapi? Anne Makinda yumo ndani na Sitta yumo ndani ya kamati!!!
 
wakati wa kupiga kura 6 na mwenzake makinda ilibidi watoke nje kwanza
 
wakati wa kupiga kura 6 na mwenzake makinda ilibidi watoke nje kwanza
Na kuna uwezekano Mkulu wa chama alishinikiza SITA and CHENGE watoke ktk kinyang'anyiro, hapo ndipo walipopita katika njia aliyoichonga chenge kuelekea anakotaka yeye
 
Unacheza na cc kama walimkosa kumchakachu kipindikile mpaka wakataka kumnyang'anya kadi!!undhani wanbemuacha kwa ninani aliye ruhusu hoja binfsi mpaka kuwafikisha hapowalipl akina....hao??hivyo walifanya kilakitu wanachoweza ili kumtoa!!
 
Tukumbuke Chenge ni Harvard product, na jinsi alivyoplan, yaani kutumia mtego wa bora tukose wote ili kumharibia sita imefaulu
 
Mungu atusaidie Jamani na hii nchi, Inapelekwa shimoni kabisa.
 
Umeshtukia mzee, utadhani kikao cha kwenda HIJJA mecca.
hisia kama hizi ni hatari kwa mustakabali wa nchi ni vyema tukazizika, kimsingi nafasi hizo haziogotwi, zinagombewa so i think ingekuwa jambo la msingi ukaenda kuchukua fomu uwe member wa CC ya CCM, kimsingi haijalishi anavaa kibaghalashia au la what TZ we need is them to deliver, tumewapa miaka mitano kutuongoza so let give them a time ili tuweze kuwapina na kuwachuja 2015. nihayo tu!
 
hehehe hahahaha
nchi inaongozwa kutoka kwenye hivi vichwa huku wakilindwa na usalama wa taifa na kuabudiwa na dola.
Wameishiwa uwezo wa kufikiri wamesalia as that small group of merchants. them smuggling the leadership ya nchi hii. the highest bidder takes all.
 

kwa uamuzi walioufikia wametuonyesha hawana dhamira ya dhati ya kupambana na ufisadi ndo maana wanamtafuta mtu atakayefunika funika


HAWAFAIIIIIIIIIIIIIII, narudia tena Hawafaiiiiiiiiiii
 
Umeshtukia mzee, utadhani kikao cha kwenda HIJJA mecca.
unafiki na uzandiki wa kidini mliouanzisha wakati wa kampeni, nshangaa mnauleta mpaka huku. Ni ufinyu wa mawazo kuwa dini inaweza ongoza nchi hii. Nafasi zilikuwa nyingi kwenu wakati nchii hii ikiendeshwa kiimla na mwl nyerere na mkadhani ni hatimiliki yenu nyie. Muamke na kujua, hao muwaonao ni wa dini yenu na wa dini yetu ndio wanaoingia kula pesa zitokanazo na rushwa na vilevi na kamari. Siasa za dunia hazina usafi, na ni kwa mantiki hii kigezo cha dini hakitumiki katika nchi hii. Kimeshindwa 2010 na kitaendelea kushindwa kwani sio Turufu ni Garasa. Jipange kwa hoja sio Udini. NATOA HOJA
 


Mh! Nikiangalia hii kamati kweli inawezekana Sitta akapita? Naye sidhani kama aliliona hilo. Kama kapata kura labda ya Nahodha.

Pia mbona kama Msekwa anataka kurudi kwa mgongo wa mkewe?
 
Ni kamati ya Mafisadi! but poa watakwisha na kuangamia! watanzania tupo nyuma ya SITTA.
 
.Ndugu Kakaya Mrisho Kikwete – Mwenyekiti-MUISLAMU
2 Ndugu Pius Msekwa - Makamu Mwenyekiti (Bara) -MKRISTU
3 Ndugu Amani Abeid Amani Karume – Makamu-MUISLAMU
4 Ndugu Yussuf R Makamba - Katibu Mkuu-MUISLAMU
5 Capt(mst) George Huruma Mkuchika - Naibu Katibu Mkuu -MKRISTU
6 Ndugu Salehe Ramadhan Ferouz - Naibu Katibu Mkuu -MUISLAMU
7 Dr. Ali Mohamed Shein – Mjumbe-MUISLAMU
8 Ndugu Edward Ngoyai Lowassa – Mjumbe-MKIRSTU
9 Ndugu Shamsi Vuai Nahodha – Mjumbe-MUISLAMU
10 Alhaj Ali Hassan Mwinyi – Mjumbe-MUISLAMU
11 Ndugu Benjamin William Mkapa – Mjumbe-MKRISTU
12 Dr. Salmin Amour – Mjumbe-MUISLAMU
13 Ndugu John Samwel Malecela – Mjumbe-MKRISTU
14 Capt. (mst) John Zefania Chiligati-MKRISTU
15 Ndugu Amos Gabriel Makala – Mjumbe-MKRISTU
16 Ndugu Bernard Kamilius Membe - Mjumbe -MKRISTU
17 Ndugu Kidawa Hamid Saleh – Mjumbe-MUISLAMU
18 Ndugu Samwel John Sitta – Mjumbe-MKRISTU
19 Ndugu Pandu Ameir Kificho – Mjumbe-MUISLAMU
20 Ndugu Anna Abdallah – Mjumbe-MKRISTU
21 Ndugu Rostum Aziz – Mjumbe-MUISLAMU
22 Dr.Mohamed Gharib Bilal – Mjumbe-MKRISTU
23 Ndugu Pindi Hazara Chana – Mjumbe-MUISLAMU
24 Ndugu Andrew Chenge – Mjumbe-MKRISTU
25 Dr.Maua Abeid Daftari – Mjumbe-MUISLAMU
26 Ndugu Samia Suluhu Hassan – Mjumbe-MUISLAMU
27 Ndugu Mohamed Seif Khatib – Mjumbe-MUISLAMU
28 Ndugu Haji Omar Kheri – Mjumbe-MUISLAMU
29 Dr.Abdallah Omari Kigoda – Mjumbe-MUISLAMU
30 Ndugu Abdurahman Kinana – Mjumbe-MUISLAMU
31 Ndugu Anne Semamba Makinda – Mjumbe-MKRISTU
32 Ndugu Fatuma Said Ali Mchumo – Mjumbe-MUILSAMU
33 Ndugu Zakia Hamdan Meghji – Mjumbe-MUISLAMU
34 Ndugu Omar Yussuf Mzee - Mjumbe -MUISLAMU
35 Ndugu Emmanuel John Nchimbi – Mjumbe-MKRISTU
36 Ndugu Ali Ameir Mohamed – Mjumbe-MUISLAMU
37 Ndugu Yussuf Moh’d Yussuf – Mjumbe-MUISLAMU


RATIO:23-WAISLAMU 14:23
14-WAKRISTU
JE NANIMDINI KATI YA JK NA WAPINZANI ALOKUWA ANASEMA JK????????????????????????????????????????????????????
 
Umeshtukia mzee, utadhani kikao cha kwenda HIJJA mecca.
amakweli bado upo upo ndugu yangu, na unafanana na mwenzio mmoja aliehoji kwanini viti maalu chadema ni kama umoja wa akinamama wa kanisani.
watu kama ninyi nyerere aliwaita "wapumbavu wa fikra"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…