Elections 2010 KUANGUSHWA: Jinsi Samwel Sitta alivyotoswa kwenye Uspika

Elections 2010 KUANGUSHWA: Jinsi Samwel Sitta alivyotoswa kwenye Uspika

Hapa nachokiona ni udini tu hakuna kingine. KUMEJAA PROPAGANDA ZA KUWAPIGA VITA WAISLAM NA MI KAMA MUISLAM NITAFIKISHA UJUMBE HUU KWA KILA MUISLAM MWANA MAGEUZI ILI WAJUE.

Asanteni
 
hisia kama hizi ni hatari kwa mustakabali wa nchi ni vyema tukazizika, kimsingi nafasi hizo haziogotwi, zinagombewa so i think ingekuwa jambo la msingi ukaenda kuchukua fomu uwe member wa CC ya CCM, kimsingi haijalishi anavaa kibaghalashia au la what TZ we need is them to deliver, tumewapa miaka mitano kutuongoza so let give them a time ili tuweze kuwapina na kuwachuja 2015. nihayo tu!
Wewe nani kakuambia JK kapewa hii nchi aongoze!!
 
hii sio kamati iliyomchakachua 6 kama title inavyodai....hii ni kamati ya CC - CCM....... kwenye kamati iliyopiga kura jana, Mkapa na Dr. Amour hawakuwepo!.....na obviously Sitta hawezi kujichakachua mwenyewe.
 
Mungu wetu Mungu wetu kuna nini Tanzania
Nchi yetu inauzwa Mafisadi wana nia
Tuhurumie Mungu wetu mafisadi zao nia
Nchi yetu nchi yetu Mafisadi waiuza

Angalia zao nia Matokeo chakachua
Wenye haki wananyimwa Kura zao Kuibiwa
Kwa kishindo watangaza Aliyeshindwa Kashinda
Nchi yetu nchi yetu Mafisadi waiuza

Nawaombea Mabaya Mafisadi angamiza
Wenye haki wabakie Nchi nzuri wawe nayo
Mafisadi wafutike kwa ajali wamalize
Nchi yetu nchi yetu mafisadi wanauza

Wananchi wamtaka SITA wetu Uspika
Mafisadi chakachua wameweka vibaraka
Wanawake wanafaa kumbe nao mafisadi
Nchi yetu nchi yetu mafisadi wanauza

Tumesha wasoma mbeleni Makindakinda Kumuweka
Wanasema anafaa ni wakati wanawake
Wanawake kitu gani mbona chaguo Fisadi
Nchi yetu nchi yetu mafisadi waiuza

Bora angkuwa KIlango tungesema wameweza
Makindakinda kumuweka Mafisadi kuwalinda
Wanawake gani hawa mkakati twaujua
Nchi yetu nchi yetu mafisadi waiuza

Walipanga awe Chenge wengi wutu tukaguna
Wakaona watuvunge Makindakinda kumuweka
Huyu makindakinda ni wakwao wananchi tukatae
Nchi yetu nchi yetu mafisadi waiuza

Mkumbukeni kinda kinda enzi zile ni naibu
Tofaute yake na SITA hoja nzuri alipinga
Mafisadi kumuweka ni faida yao pia
Nchi yetu nchi yetu mafisadi waiuza

Nitamati nafikia ndugu zangu muwaase
Wawakilishi wasitoe kura zao kwa vibaraka
Bora sana MABERE kuliko kinda kinda wa mafisadi
Nchi yetu nchi yetu Mafisadi waiuza
 
hivi kwanini watu wanapenda kuzungumzia udini na pia wakizungumzia udini wanazungumzia waislamu na wakristo, kuna dini zaidi ya 80 katika tanzania na asilimia zaidi ya 25% ya viongozi wa taifa letu ni freemason mbona amuwasemi kwamba dini yao inawatu wachache lakini inaviongozi wengi.. wavaa pete kwenye mikono yote wote ni mason mbona amuwazungumzii? jamani mimi nimechoka
 
na kuhusu udini, ukihesabu "vibarakashehe" ni kama ishirini hivi.....na total ya wajumbe ni 38 ambayo ni almost 40 so its pretty much 50-50.....ukiangalia kwamba walipigiwa kura na sio kuteuliwa.....kama hakuna haja ya kuingiza udini tusiuingize jamani..chonde chonde
 
Hivi nyie mbona mnaleta udini sana au na CHADEMA ndio msimamo wake?? Utafanya mtu atukane kama umekosa cha kuongea bora ulifunge na kama una uchungu na uislam kwa kamtu kama wewe utabaki unajiumiza roho bure coz huna cha kufanya. Sisi wengine ni waislam na tumechagua upinzani sasa unachotaka kukileta ni mfarakano. Nakuomba ulifunge hilo lako na mapema

mimi ni mkristo na sipendi wakristo wanaodhalilisha dini za watanzania wenzao.

Kwa waislamu wote mliosoma post ya udini Mungu awape moyo wa subra na uvumilivu wa kupendana na ndugu zenu wakristo.Katika hili naomba ndugu zangu Waislamu wa hapa JF huyo ndugu abebe udini wake peke yake kauli yake si ya wakristo wote. Hakutumwa na wakristo kuushambulia Uislamu ni mpumbavu wa fikra. Ni makosa kujificha kwenye mwamvuli wa ukristo kuishambulia dini nyingine wakati kimsingi huo ni mtizamo wako peke yao si wa dini ya kikristo.

Mungu Ibariki Tanzania

Mungu iepushe Tanzania na udini.
 
Mungu wetu Mungu wetu kuna nini Tanzania
Nchi yetu inauzwa Mafisadi wana nia
Tuhurumie Mungu wetu mafisadi zao nia
Nchi yetu nchi yetu Mafisadi waiuza

Angalia zao nia Matokeo chakachua
Wenye haki wananyimwa Kura zao Kuibiwa
Kwa kishindo watangaza Aliyeshindwa Kashinda
Nchi yetu nchi yetu Mafisadi waiuza

Nawaombea Mabaya Mafisadi angamiza
Wenye haki wabakie Nchi nzuri wawe nayo
Mafisadi wafutike kwa ajali wamalize
Nchi yetu nchi yetu mafisadi wanauza

Wananchi wamtaka SITA wetu Uspika
Mafisadi chakachua wameweka vibaraka
Wanawake wanafaa kumbe nao mafisadi
Nchi yetu nchi yetu mafisadi wanauza

Tumesha wasoma mbeleni Makindakinda Kumuweka
Wanasema anafaa ni wakati wanawake
Wanawake kitu gani mbona chaguo Fisadi
Nchi yetu nchi yetu mafisadi waiuza

Bora angkuwa KIlango tungesema wameweza
Makindakinda kumuweka Mafisadi kuwalinda
Wanawake gani hawa mkakati twaujua
Nchi yetu nchi yetu mafisadi waiuza

Walipanga awe Chenge wengi wutu tukaguna
Wakaona watuvunge Makindakinda kumuweka
Huyu makindakinda ni wakwao wananchi tukatae
Nchi yetu nchi yetu mafisadi waiuza

Mkumbukeni kinda kinda enzi zile ni naibu
Tofaute yake na SITA hoja nzuri alipinga
Mafisadi kumuweka ni faida yao pia
Nchi yetu nchi yetu mafisadi waiuza

Nitamati nafikia ndugu zangu muwaase
Wawakilishi wasitoe kura zao kwa vibaraka
Bora sana MABERE kuliko kinda kinda wa mafisadi
Nchi yetu nchi yetu Mafisadi waiuza
 
na kuhusu udini, ukihesabu "vibarakashehe" ni kama ishirini hivi.....na total ya wajumbe ni 38 ambayo ni almost 40 so its pretty much 50-50.....ukiangalia kwamba walipigiwa kura na sio kuteuliwa.....kama hakuna haja ya kuingiza udini tusiuingize jamani..chonde chonde
hakuna haja ya kuhesabu barakashee. kwani huo ndio mwanzo wa kubaguana uzuri katika tanzania akipita rais mjinga akaweka watu wake basi siku akiondoka ikulu basi na kundi lake linaondolewa kwa hiyo nadhani msiwasakame viongozi wetu wengi ni mafreemason kwani hawana madhara zaidi ya wao kutoana kafara tuu, kwani si unaona akiongoza freemason lazima katika serikali yake kuwe na udondokaji wa viongozi katika serikali yake...........hahaaaaaaaa mimi nadhani tu sina ushahidi
 
ama kweli ni vipofu wanakokotana, na mwenye chongo ananyang'a ufito wa kuwaongoza! tukae kando na kushuhudia watavyokuwa wakivuka makorongo!

"Kipofu awezi kumuongoza kipofu mwenzake wote wawili watatumbukia shimoni" naunga hoja
 
Hapa nachokiona ni udini tu hakuna kingine. KUMEJAA PROPAGANDA ZA KUWAPIGA VITA WAISLAM NA MI KAMA MUISLAM NITAFIKISHA UJUMBE HUU KWA KILA MUISLAM MWANA MAGEUZI ILI WAJUE.

Asanteni

Na wewe utakuwa ni mdini hakuna haja ya kusambaza udini Tanzania ni kumshambulia na kumkea huyu ndugu hapa hapa tena tukisadiana wakristo na waislamu.

Nikupe wazo la bure ...katika propaganda za kuwatenganisha binadamu kuna wakati mtu anaweza kujivika ngozi ya kinyonga.

Kwa mfano, Mwislamu mdini anaweza kutuma post hapa akijifanya ni "mkristo" ambaye anashangaa Waislamu kuwa wengi katika kamati kuu ya CCM kwa Dhamira ya kutimiza lengo lake la kufarakanisha dini hizo mbili....vivyo hivyo mkristo mdini anaweza kujifanya ni mwislamu katika jukwaa hili na kuvaa ngozi ya Uislamu kisha akatumia kificho hicho kutimiza lengo.

Kwa kifupi, kama mimi ni mkristo nataka waislamu na wakristo wagombane kutimiza ndoto zangu za kugombanisha dini najifanya kwanza ni mwislamu nawatukana wakristo ili wakristo wenzangu wahamaki
 
Mzee wetu Sitta pumzika kwa amani. Kazi uliyoifanya inafahamika. Ulifanya kwa ustadi wa hali ya juu. Hukujalia maslahi ya chama chako bali taifa. Namwonea huruma huyo ajaye, maana ile timu ya upinzani lazima imlipue kichwa.
 
kwa uamuzi walioufikia wametuonyesha hawana dhamira ya dhati ya kupambana na ufisadi ndo maana wanamtafuta mtu atakayefunika funika

HAWAFAIIIIIIIIIIIIIII, narudia tena Hawafaiiiiiiiiiii

Niliwahi kusema siku za nyuma humu ndani nathani mtakuwa mnakumbuka,
"ukistaajabu ya Musa, utashanga ya Felauni"

niliwaambia uchakachuzi hauta ishia hapo tu, utaendelea.

alisema Baba wa taifa ukila nyama ya mtu.........................................................................

:director:wana CCM MPO.......!!!!!???
 
Jamani tutammiss sana, ila asikate tamaa. Haki ya mtu haipotei ila kwa tanzania inapotezwa. Hizo ndio siasa za africa ukijiweka mbele kutetea maslahi ya waliowengi unakuwa adui mkubwa. Sikutegemea kwamba Mzee sita atapigwa panga kwa staili hii, inawezekana anamapungufu yake kama binadamu ila uwezo wake na umahili wake kwa maana ya vigezo na udhoefu kama haki ingetendeka nafikiri angebaki au kuingizwa hata kwenye hiyo tatu bora.
Kisingizio kilichotolewa kuwa ccm wanataka mhimili huo uongozwe na mwanamke sioni kuwa katika Ulimwengu wa demokrasia una nafasi, aliyekuwa anatafutwa pale ni mtu mwenye uwezo na vigezo, kama walikuwa na nia ya kuwapa wanawake nafasi kubwa basi wangeweka katika ilani yao ya uchaguzi na hakukuwa hata na haja ya kuisumbua Kamati wakati tayari walikuwa na maadhimio yao.

Kwa hili nakiri wazi mpango mkakati umefanikiwa!!!!
 
Anold,

unasema hukutegemea, mi nilijua yote haya mizengwe yote waliomfanyia wakati ule umesahau??, nilipoona tu wameanza kula nyama ya mtu, nikajua, oohoooooo..........!!! wataendelea tu!! na bado yanakuja mengi we tulia tu

uchakachuzi mwendo mdondo yetu macho, kazi kwao!!
 
Niliwahi kusema siku za nyuma humu ndani nathani mtakuwa mnakumbuka,
"ukistaajabu ya Musa, utashanga ya Felauni"

niliwaambia uchakachuzi hauta ishia hapo tu, utaendelea.

alisema Baba wa taifa ukila nyama ya mtu.........................................................................

:director:wana CCM MPO.......!!!!!???

Utazidi kuila tu mpaka unaenda Kaburini! CCM Wanafiki, Wazandiki, Wafisadi yaani najiuliza mtu mzima mwenye akili yako timamu How could u vote for CCM???? I am sooo piseeeed!! Tuandamane tu ndio kilichobaki, Mambo ya Amani, Amani, Amani tumechoka kusikia. Vijana tunakaa tunaangalia tu jinsi nchi yetu wanavyoifanya kama yao vile. It is as if nobody exists except hao viongozi wala rushwa. Shame on you kwa kumtoa Sitta. Mimi ni mwanamke na sio kwamba sitaki mwanamke apewe nafasi ya kuongozi. Ni kwamba CCM wametafuta sababu ya kumtoa Sitta kwa sababu hafanyi kazi kwa matakwa ya Mafisadi. It is about time we stand for our Country!
 
Nafikiri baada ya Sita kuchakachuliwa ni fursa sasa bunge kupata spika toka upinzani, Marando kaa mkao wa kuongoza bunge.
 
Back
Top Bottom