kim jong ii
Member
- Nov 3, 2010
- 42
- 1
Na wewe utakuwa ni mdini hakuna haja ya kusambaza udini Tanzania ni kumshambulia na kumkea huyu ndugu hapa hapa tena tukisadiana wakristo na waislamu.
Nikupe wazo la bure ...katika propaganda za kuwatenganisha binadamu kuna wakati mtu anaweza kujivika ngozi ya kinyonga.
Kwa mfano, Mwislamu mdini anaweza kutuma post hapa akijifanya ni "mkristo" ambaye anashangaa Waislamu kuwa wengi katika kamati kuu ya CCM kwa Dhamira ya kutimiza lengo lake la kufarakanisha dini hizo mbili....vivyo hivyo mkristo mdini anaweza kujifanya ni mwislamu katika jukwaa hili na kuvaa ngozi ya Uislamu kisha akatumia kificho hicho kutimiza lengo.
Kwa kifupi, kama mimi ni mkristo nataka waislamu na wakristo wagombane kutimiza ndoto zangu za kugombanisha dini najifanya kwanza ni mwislamu nawatukana wakristo ili wakristo wenzangu wahamaki
Mhe nimekuelewa ni busara hiyo.