Nashukuru sana ndugu ulichoongea lakini pia Naomba Mwongozo wa MODSKUUZUNGUMZIA UDINI NI UVIVU WA KUFIKIRIA AU UWEZO MDOGO KIAKILI
LAKINI SIUNGANI KABISA NA WEWE KWAMBA CHUKI NYINGE KWA KIKWETE ZIMEJENGWA JUU YA DINI YAKE NO WAY
HUYU KIKWETE SI 2005 TULIMCHAGUA KWA 81%, INAMAANA WAKATI HUO TULIKUWA VIPOFU HATUONI ?, NINI KIMETUBADILISHA SASA?HAKIKA SI UDINI BALI NI :
1.KUSHINDWA KUDHIBITU UFISADI
2.KUSHINDWA KUDHIBITI MFUMUKO WA BEI
Kwa mfano mwaka 2005 alipokuwa anaingia madarakani ukilinganisha na sasa kwa vili vitu muhimu bei zimepanda kama ifuatavyosembe ilikuwa sh 250 sasa ni sh 800
sukari ilikuwa sh600 sasa ni sh 1800
Nyumba chumba ilikuwa sh 20,000( maeneo ya KND) sasa ni sho 50,0000
Mchele ilikuwa sh 500/ kwa kg sasa ni sh 1500/=
Mkaa gunia ilikua sh10,000/= sasa ni sh 30,0000
hiyo ni mifano , inayoonesha bei za vitu kwa kipindi cha 5 yrs imepanda zaidi ya mara tatu
niwaulize ni pato la nani limepanda mara tatu kwa kipindi hicho hicho .Hii maana yake ni kwamba maisha yameongezeka ugumu .
kwa hiyo uamuzi wa wanachi kama mimi ni kumuadhibu ktk ballot box japo wamechakachua
Mimi nilimpigia kikwete kura 2005 kwa kuwa nilitarajia mabadiliko , sikuangalia dini yake na 2010 sijampigia kwa sababu hizo hapo juu sikuangali dini yake ,niliona SLAA ni tumaini jipya na agepambana na ufisadi na kutoa elimu bure ambayo wataalamu wansema unahitaji 350Bn ili usiwachangishe wananchi,SLAA alisema atapata hizo kwa kufuta misaamaa ya kodi ilikithiri
NIKAMCHAGU HAKUNA DINI HAPO
Je haiwezekani kumburn mtu yeyote anayechangia ishu ya dini katika kila mada kuanzia sasa, maana hii imekuwa too much sasa, mpaka tunafika mahali tunaanza kuogopa kufungua JF. kama watu wanataka kujadili dini wapewe sehemu huko ya kufanya hivyo lakini siyo kila topic ikija hapa lazima tuzungumzie dini zetu, tunaanza kupoteza lulu ya JF
Naomba sana mods waangalie hili linataka kutupeleka pabaya. inaniumiza sana kwa kweli tunaacha kujadili issues tunajadili dini! hao mafisadi wote wanatoka dini mchanganyiko so let us attack them na si huu ujinga mwingine (MODS I am so hurt)