Elections 2010 KUANGUSHWA: Jinsi Samwel Sitta alivyotoswa kwenye Uspika

1.alijenga ofisi ya spika urambo
2.hakupenda kuishi nyumba ya serikali alopewa na akapanga mtaani,8000 kwa mwezi(soma dola za marekani)
3.alinunua vijidonge flani hivi kutibu mguu,sh.milioni 2,kiduka cha dawa mtaani!
4.hakuzoea kufanya retirements akitoka safari(kuna kama m.70 tu kwa ajili ya msosi hakuzi-account for
5.niliwahi kuhudhuria meeting ukumbi mmoja dodoma,african dream conference centre lakini sikumaliza meeting baada ya kufahamu anaumiliki yeye,mnabisha?

ASIHOFU MZEE WA WATU,KWANZA YE ANA NGOZI NGUMU NA NI CHUMA CHA PUA...LOL!!!
 
Haah...kumbe sitta naye yumo?lakini mi nampenda kwa sababu ni mtu pekee aliyekuwa anaipa green light hoja ngumu na kuweza kuufufua upande wa upinzani bungeni........hakuna binadamu perfect though....
 
1.alijenga ofisi ya spika urambo
2.hakupenda kuishi nyumba ya serikali alopewa na akapanga mtaani,8000 kwa mwezi(soma dola za marekani)
3.alinunua vijidonge flani hivi kutibu mguu,sh.milioni 2,kiduka cha dawa mtaani!
4.hakuzoea kufanya retirements akitoka safari(kuna kama m.70 tu kwa ajili ya msosi hakuzi-account for
5.niliwahi kuhudhuria meeting ukumbi mmoja dodoma,african dream conference centre lakini sikumaliza meeting baada ya kufahamu anaumiliki yeye,mnabisha?

ASIHOFU MZEE WA WATU,KWANZA YE ANA NGOZI NGUMU NA NI CHUMA CHA PUA...LOL!!!

Nani atamshitaki?

Hiyo list yako hapo juu haina jipya la kufanya ashitakiwe pekee yake katika lundo lote la Mafisadi.
Watu wamekula Billions ushahidi upo lakini hakuna mtu mwenye thubutu ya kuingia Mahakamani.
Sita hawezi kushitakiwa kwa sababu hakuna mwenye hamu ya kuamshitaki na kuanzisha vurumai ndani ya serikali ya CCM.
 
Tangu 6 aifilisi CDA nimekuwa na wasiwasi naye hasa ukizingatia kuwa aliingia kiti cha uspika kwa kupitia ujanja ujanja wa mtandao wa Kikwete. Kinachomdhuru 6 leo ni kuwa alikuwa akitumia ARV za mtandao lakini hapo katikati akasahau masharti yake na hivyo sasa amekumbana na hali halisi ya ...umeme. Kwangu mimi awe 6 au aliyekuwa msadizi wake (Anna Makinda) sioni tofauti as long as wote ni channel ile ile.
 
Sawa tu. Wataendelea kuchakachuliwa. Wameibiwa kura wakapewa nafasi ya umakamu wa rais huko Zanzibar wakachekelea na kushukuru sana

Nyie mnagombea nafasi, wenzenu wanagombea maendeleo.

Kama unashirikishwa katika maendeleo ya nchi sasa uroho wa nini?

CHADEMA UROHO WA MADARAKA UTAWAUA!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Binafsi nimeumia nafsi yangu sana, sio tu kwasababu ya kushindwa kwa mr sitta ila namna ambavyo serikali ya kikwete inavyotuona watanzania hatuna akili, kumuondoa sitta kwenye uspika ni lengo la ccm kulinda maslahi ya mafisadi, badala ya maslahi ya watanzania wote, mapungufu ya sita yalikuwa wazi kwani yeye siye aliyepeleka mijadala ya ufisadi ilailikuwa ni nguvu ya msukumo wa bunge ndio ilimlazimisha sitta kuruhusu mijadala hiyo ambayo mwisho wake mpaka leo haupowazi, wabunge turudishieni imani yetu kwa bunge kwakumkataa anna makinda ili mafisadi wasilindwe!

KWAKHELI MR SIX, HAYO NDIO MALIPO YA CCM, AKINA ROSTAM NA LOWASA SAHIZI WANAKUCHEKA, ILA SISI TUTAKUKUMBUKA NA TUNAKUKARIBISHA KWENYE UPAMBANAJI, TOKA CCM NJOO UPINZANI.:croc:
 
So, what the hell is so special with Samwel Sitta (MP)? Rudia kusoma hapo bold/blue!

To Samwel Sitta (MP) is a "victim" of "power struggle"
 
Binafsi nimeumia nafsi yangu sana, sio tu kwasababu ya kushindwa kwa mr sitta ila namna ambavyo serikali ya kikwete inavyotuona watanzania hatuna akili, kumuondoa sitta kwenye uspika ni lengo la ccm kulinda maslahi ya mafisadi, badala ya maslahi ya watanzania wote, mapungufu ya sita yalikuwa wazi kwani yeye siye aliyepeleka mijadala ya ufisadi ilailikuwa ni nguvu ya msukumo wa bunge ndio ilimlazimisha sitta kuruhusu mijadala hiyo ambayo mwisho wake mpaka leo haupowazi, wabunge turudishieni imani yetu kwa bunge kwakumkataa anna makinda ili mafisadi wasilindwe!

KWAKHELI MR SIX, HAYO NDIO MALIPO YA CCM, AKINA ROSTAM NA LOWASA SAHIZI WANAKUCHEKA, ILA SISI TUTAKUKUMBUKA NA TUNAKUKARIBISHA KWENYE UPAMBANAJI, TOKA CCM NJOO UPINZANI.:croc:

Mkuu nadhani tungeacha kuwa personal kwenye issue hii. We all knew that was coming, na inawezekana mengine mabaya zaidi yanakuja. No doubt kuwa kwenye uchaguzi huu mafisadi hawajashindwa, they still have powers. Lakini hakuna ubishi kuwa bunge chini ya Sitta lilikuwa la maslahi kwa Tanzania. Kati ya mambo ambayo naweza kumsifu JK ni kuwa katika kipindi chake cha miaka mitano iliyopita bunge lilikuwa la kweli, si la kuzuga.

Cha muhimu ni kwamba Sitta ameonesha umuhimu mkubwa kwa Tanzania. At least ameonesha kuwa bunge lina uwezo wa kutetea maslahi ya taifa, si individuals na si vyama. Bunge linaweza kuwa kiongozi wa Tanzania, na si mlinzi wa mafisadi. Tunatakiwa tuendelee na kitu kama hicho, it has to be institutionalized na sio kuwa personality.

Bunge la kabla ya Sitta lilikuwa kama mhuri tu, na la kulinda maslahi ya watu binafsi. Lakini Bunge la wakati wa Sitta limeonbesha kuwa Tanzania ni muhimu zaidi kuliko vyama au watu, tungependa bunge jipya liwe hivyo kivitendo, si maneno.

Hoja ziwe na maana zaidi kuliko sura na vyama vya watoa hoja, lisiwe bunge la kilindana. Liwe bunge la kweli lenye uwezo wa kui-monitor serikali.
 
Sitta ni mnafiki na opportunist..hana lolote kwanza afadhali kapigwa chini
 
1.alijenga ofisi ya spika urambo
2.hakupenda kuishi nyumba ya serikali alopewa na akapanga mtaani,8000 kwa mwezi(soma dola za marekani)
3.alinunua vijidonge flani hivi kutibu mguu,sh.milioni 2,kiduka cha dawa mtaani!
4.hakuzoea kufanya retirements akitoka safari(kuna kama m.70 tu kwa ajili ya msosi hakuzi-account for
5.niliwahi kuhudhuria meeting ukumbi mmoja dodoma,african dream conference centre lakini sikumaliza meeting baada ya kufahamu anaumiliki yeye,mnabisha?

ASIHOFU MZEE WA WATU,KWANZA YE ANA NGOZI NGUMU NA NI CHUMA CHA PUA...LOL!!!
Kumbuka akishtakiwa 6 basi karibu ya TZ nzima watumishi wa serikali watashtakiwa. Hasa wahasibi , afisa tawala na wakuu wa idara wooooote
Hii Bongo imeoza. Mzee alicheza bit ya mziki uliokuwa unapigwa
Mmesahau vijisent. yeye alichakarika katika namna yake. Ila si kama vijisent
 
Sitta ni mnafiki na opportunist..hana lolote kwanza afadhali kapigwa chini

Msubiri Anne Makinda anayejiandaa na kutoa adhabu kwa wabunge kabla ya mambo mengine. Hamtapata kitu chochote kutoka Bungeni hii miaka mitano. Hata tv sitatune kwenye bunge tena. Halitakwa na mvuto tena, ila komedy
 
Mimi napingana na nyie kwa 100% mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Sitta was a different person misimamo yake mnayoiponda ililifanya bunge likapendwa na watu wa kada mbalimbali. Tofauti na kipindi cha nyuma, wakati wa sitta bunge lilionekana kuchangamka zaid na watu wengi walipenda kulitazama na kusikiliza. Ni wazi kuna maamuzi aliyotoa ambayo yaliwachoma wana ccm kama chama au mtu mmoja mmoja. Kuna wakati pia aliwabana mawaziri watoe majibu ya kueleweka. Ccm walielewa wazi kwamba misimamo ya sitta hasa katika kipindi hiki ambacho wabunge wa upinzani ni wengi zaidi ingekiweka chama pabaya. Niwaulize nyie ambao hamumkubali sitta mniambie ni spika gani huko nyuma ambae uongozi wake tutamkumbuka kwa uongozi bora wa bunge, inawezekana akawa adam sapi mkwawa maana mimi sikuwepo enzi hizo lakini naamini bunge la msekwa lilikua limelala usingizi kupindukia. Mkitaka kuamini kwamba sitta, pamoja na mapungufu yake ya hapa na pale kama binadamu, alilifufua bunge na kulifanya liwe na uhai na kuitikisa serikali wakati fulani subirini uongozi wa anna makinda muone utakavyokua wa kidikteta nyie wenyewe mtakua wa kwanza kumkumbuka sitta!! Mwisho nawashauri watu waache kua bendera fuata upepo! You should analyze issues critically before you give your value judgement..
 
1.alijenga ofisi ya spika urambo
2.hakupenda kuishi nyumba ya serikali alopewa na akapanga mtaani,8000 kwa mwezi(soma dola za marekani)
3.alinunua vijidonge flani hivi kutibu mguu,sh.milioni 2,kiduka cha dawa mtaani!
4.hakuzoea kufanya retirements akitoka safari(kuna kama m.70 tu kwa ajili ya msosi hakuzi-account for
5.niliwahi kuhudhuria meeting ukumbi mmoja dodoma,african dream conference centre lakini sikumaliza meeting baada ya kufahamu anaumiliki yeye,mnabisha?

ASIHOFU MZEE WA WATU,KWANZA YE ANA NGOZI NGUMU NA NI CHUMA CHA PUA...LOL!!!

Umejiunga leo kwa ajili ya kutoa hoja hii? Kuna ubaya Sitta kumiliki ukumbi, kama pesa ameipata kihalali au amekopa?
 
mwacheni aende bana kwanza alikuwa na mdomo sana
 
Mimi napingana na nyie kwa 100% mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Sitta was a different person misimamo yake mnayoiponda ililifanya bunge likapendwa na watu wa kada mbalimbali. Tofauti na kipindi cha nyuma, wakati wa sitta bunge lilionekana kuchangamka zaid na watu wengi walipenda kulitazama na kusikiliza. Ni wazi kuna maamuzi aliyotoa ambayo yaliwachoma wana ccm kama chama au mtu mmoja mmoja. Kuna wakati pia aliwabana mawaziri watoe majibu ya kueleweka. Ccm walielewa wazi kwamba misimamo ya sitta hasa katika kipindi hiki ambacho wabunge wa upinzani ni wengi zaidi ingekiweka chama pabaya. Niwaulize nyie ambao hamumkubali sitta mniambie ni spika gani huko nyuma ambae uongozi wake tutamkumbuka kwa uongozi bora wa bunge, inawezekana akawa adam sapi mkwawa maana mimi sikuwepo enzi hizo lakini naamini bunge la msekwa lilikua limelala usingizi kupindukia. Mkitaka kuamini kwamba sitta, pamoja na mapungufu yake ya hapa na pale kama binadamu, alilifufua bunge na kulifanya liwe na uhai na kuitikisa serikali wakati fulani subirini uongozi wa anna makinda muone utakavyokua wa kidikteta nyie wenyewe mtakua wa kwanza kumkumbuka sitta!! Mwisho nawashauri watu waache kua bendera fuata upepo! You should analyze issues critically before you give your value judgement..
 
Sifikirii kama ni kweli ubia wao haujafikia kiwango hicho na sidhani CCM kama watahitaji kura za CUF ili wampitishe Anna Makinda kuwa Spika kwa kazi gani wakati wana idadi ya wabunge kuzidi wapinzani wote ni dhahiri kuwa Anna atapita tu bila kuwahitaji CUF wacha tuone kura zitakavyokuwa kuliko huo utabiri wako
 
Nyie mnagombea nafasi, wenzenu wanagombea maendeleo.

Kama unashirikishwa katika maendeleo ya nchi sasa uroho wa nini?

CHADEMA UROHO WA MADARAKA UTAWAUA!!!!!!!!!!!!!!!!

Dah...asalaleeee...kama vile maradhi,UJINGA nao haubagui!!! roho ile ile iliyokuwamo ndani ya mkapa tarehe 30 oktoba pale jangwani imo ndani yako mwanawanee...Huku watu wakisubiri hoja nzito kutokana na hali halisi na uhitaji,jamaa akaibuka na taarabu na mipasho aisee!!Sasa lile limwili,na umri wake na cv yakee na vinavyofuka humo mdomoni...aaaagggrrrh...I was like..."why the hell did I buy this TV!!!get me out of here!! " So disgusting!!! Kuuskia upuuzi kule vijiweni kwa masela is one thing ...kuuskia humu is just...TERRIBLE! Can't stand you!!
 
Back
Top Bottom