Elections 2010 KUANGUSHWA: Jinsi Samwel Sitta alivyotoswa kwenye Uspika

Elections 2010 KUANGUSHWA: Jinsi Samwel Sitta alivyotoswa kwenye Uspika

Hii kali, lakini kwangu mimi mpaka sasa haijangia akilini ni kwa nini wamemtosa bwana six, hii nchi kwa jinsi inavyoendeshwa, wananchi tusipobadilika , tutaendelea kuishi maisha ya shida sana na kula mlo mmoja kila siku huko mitaa ya Buguruni, tandale, Mabatini mpaka tukome na huko vijijini tutaendelea kulala kwenye nyumba za mbavu za fisi mpaka basi.Just listen, mtu anakwambia nipe mtoto nikusomeshee na nitampa elimu bora kabisa na siyo bora elimu, nitakupungizia gharama za mabati na cement kwa asilimia 67% means from 15000Tsh - 5000Tsh, still mtu unakataa kumpa mtoto wako na unataka kuendelea kuishi kwenye makaazi duni kabisa, sasa sisis ni watu au? tunatumia akili zetu kufikiri au ? halafu hata mwezi haushi mnanza kupigia ndugu zenu simu huko mjini eti mwanangu anapungua na ada naomba uniongezee ili nimpeleke shule, kweli jamani? shame up on you.
 
Nawaomba mtafute Raia Mwema ya wiki hii mkasome Makala ya Msomaji Raia ukurasa wa 4 na kuendelea. Unalichambua hili kwa undani.
 
of coz leo wametimiza yale waliyopanga kitambo, jeuri ya fedha imeoneshwa. Acha wafurahi lkn mi naona mwisho wao umefika, hii tz ya leo sio ile iliyokuwa ikipim busara za mtu kwa mvi.
 
leo kabla na baada ya sitta kuapishwa kulikua na makofi kibao na mmoja wao niliyemuona akipiga meza ni lowasa, jamaa alikua anapiga makofi kweli au alikua anamsanifu muheshimiwa sita?? Nipeni maoni yenu wana jamvi!

anafurahia mafanikio ya malengo yake kukamilika kumuweka rafiki yake wa karibu sana kuwa spika.
 
Kweli CCM ni Kiboko yaani leo SIX ana kula kiapo huku amesimamiwa na aliyekua naibu wake?
Yaani hata kumwangalia Makinda usoni anaona aibu!Kweli hii ndo Tanzania uijuavyo!Hao kina EL na Vijicent nawachukia kuliko maelezo sijui kwanini wasi ugue ugonjwa mbaya tusiwaone kabisa bungeni
 
Yote yana mwisho jamani,na nadhani mwisho ni 2015,muombee adui yako aone mafanikio yetu
 
Bye Bye CUF, Hoongera sana CCM umefanya kazi kubwa sana , Akili za kuambia mmechanganya na zenu mwendo mdundo.
 

Nyie mnagombea nafasi, wenzenu wanagombea maendeleo.


Kama unashirikishwa katika maendeleo ya nchi sasa uroho wa nini?

CHADEMA UROHO WA MADARAKA UTAWAUA!!!!!!!!!!!!!!!!

maendeleo ya kuanguka jukwaani au unazungumzia maendeleo yapi? ndo maana wazazi wako walikupa jina la zawadi
 
Wabunge wote wa cuf waliomo kwenye bunge la muungano wameagizwa kuwa ni lazima waiunge mkono spika wa ccm, ana makinda, maagizo hayo yametolewa usiku huu mjini dodoma, na tayari wabunge wa cuf wamesharifiwa.

Kwa hiyo wabunge wa chadema peke yao ndo watampigia mabere marando

maagizo haya ya serikali kwa cuf ni mwendelezo wa serikali ya mseto ya hivi karibuni huko zanzibar

Ni sawa na KANISA lilivyowakataza CHADEMA kuungana na vyama vingine vya upinzani pale Bungeni.
 
JF siyo forum ya domodomo...leta source! Nijuavyo mimi ni mwiko kuuliza swali la dini ya mtu wakati wa sensa (Census)! Sasa wewe hiyo data umepata wapi?????????

Ile influency ya RA and EL imefanya kazi yake vizuri kuanzia kule kwenye kamati hadi kwa wabunge wa CCM

Surely EL will be the next presidential candidate
 
Kwa list hiyo si rahisi kwa six kupenya maana asilimia kubwa aliwajeruhi kwa maslahi ya taifa ingawa wao waliona kama wameonewa
 
Asingepiga makofi nako ingekuwa story tu, so sijui angefanya nini? Hoja zingine ilimradi tuu!!!!

Nafurahi na wewe umechangia baada ya kuingia JF na kuisoma hoja hii among of many hoja safi kijana.
 
Leo kabla na baada ya Sitta kuapishwa kulikua na makofi kibao na mmoja wao niliyemuona akipiga meza ni Lowasa, Jamaa alikua anapiga makofi kweli au alikua anamsanifu muheshimiwa sita?? Nipeni maoni yenu wana Jamvi!

Kati ya jua na mvua bora nini....?
 
Wajumbe 26 waislaamu , 11 wakristo nini vigezo vya kamati hii kuwa na uwiano huo?

Walikuambia kuwa wanachagua wajumbe kwa uwiano wa Dini? nini kinakufanya uone kuwa hawa waislamu na hawa wakristo, hujui kuwa kuna watu wana majina ya kikristu kumbe ni waislam na vice versa?

Issue ya dini wala si ya kuuliza hapo mzee!!!:A S angry:
 
Back
Top Bottom