Muombe Mungu sana mkuu usije ingia kwenye kundi la wanaoishi na Virusi vya UKIMWI. Sali sana maana ikitokea otherwise utakumbuka hayo maneno yako, utakuja Hospitali mwenyewe. For now endelea na hiyo theory yako.
Mungu ana uhusiano gani na kupata au kutopata HIV?Hebu jitahidi basi kudadisi kile ambacho wengine wanakisema ambacho ni tofauti na kile ambacho wengi wanakijua kuhusu suala hili.Unachokijua wewe hata wenzako walishakijua vivyo hivyo,sasa ni wakati wa kutumia akili na kujadili suala hili nje ya kile tulichokizoea ambacho mpaka sasa hakishabihiani na sayansi ya kweli.
1.Hadi sasa imeshathibitika kwamba HIV haambukizwi kwa njia ya ngono hata bila kutumia kinga tofauti na jinsi kina R.Gallo na Montagnier walivyosema hapo zamani.
2.Hadi sasa imeshathibitika kwamba mtu yeyote anaweza kuishi na huyo HIV(feki) kwa zaidi ya miaka 20 bila kutumia ARVs tofauti na hao wababe wenu walivyosema.
3.Hadi sasa imeshathibitika kwamba huyo HIV hajawahi kuonekana katika tafiti za hao wababe wenu.
4.Hadi sasa imeshathibitika kwamba hivyo vinavyoitwa 'vipimo vya HIV',havipimi HIV kama wengi (ukiwamo na wewe) mnavyojua.Elimu mliyopewa darasani kuhusu HIV mmedanganywa kwa matakwa ya viwanda vya madawa hasa ya ARVs.
5.Hadi sasa imeshathibitika kwamba ARVs ndio sababu ya vifo kwa wale wanaozitumia na SIO HIV kama wengi wanavyodhani.
Madaktari wakiwa wanafundishwa darasani,huwa wanadanganywa katika nyanja hizo tajwa hapo juu halafu na wao wanakuja kudanganya raia mitaani bila hata wao kujua kama wanadanganya(kwakua ndivyo walivyofundishwa).
Ukiona tafiti za kisayansi hazishabihiani na uhalisia basi jua kwamba hizo si tafiti za kweli na hazifuati sayansi ya kweli.
Kama unapinga haya ninayosema,basi tuweke hoja zetu mezani halafu tuone ni hoja zipi zinashabihiana moja kwa moja na uhalisia,yaani kile kinachotokea mitaani au mahospitalini.Tuache kasumba/mazoea,twende kwenye uhalisia wa kile kinachotokea kwa hao ambao wewe umeambiwa kwamba wana huyo HIV.Nataka watu wajionee wenyewe hoja zipi ni nzito na zenye ukweli kati ya zako na zile nitakazobainisha mimi.
Mimi naanza na hoja hii;-
1.ARVs (na sio HIV) ndizo zinazosababisha vifo kwa wale wanaozitumia.Kama unapinga hili weka hoja zako mezani.Maneno mengi hayajengi,twende kwenye uhalisia.