Kuanzia 2015 Tanzania itatawaliwa "kidikteta" Ukweli huu hapa

Tatizo letu wa Tanzania ni vigeugeu, tunapenda kugeuza kila kitu! Alijuaje kama jpm angekua rais wakati ccm ilikua inataka kubebwa mzobamzoba
Ni hawa hawa waliokuwa wanaomba kwa dua na sara na maombi wanataka rais Mkali na mwajibikaji..tena wengine kwa kuonyesha msisitizo wakasema kabisa tunamtaka atakaye kuwa na vinasaba vya 'ukali' hasa.Mungu na Mola wao kawasikia na kawkubalia mara wanageuga wanaanza kumuandama Mungu eti hawakumtaka Rais mwajibikaji wa namna hii...ni vigeugeu.
 
Nimeshindwa kuamini utabiri wako...ndoto yako imekuwa kweli.
 
Ukali sawa, lakini siyo mauwaji na utekaji. Vitu viwili tofauti kabisa! Utawala wa sheria ni nguzo muhimu kuliko hisia na utashi wa mtu.
 
Aseee Jf balaa kuna watu wanaona
 
Mkuu hii profile yake nimeangalia zaidi ya Mara moja Mara ya kwanza hapo kwenye taskbar ilikua inasoma (kama nakumbukuka vizuri ) ilikua October 2017 soon nikaingia tena kwenye profile yake coz nilikua najaribu kupitia na post zake zingine ndo nikaona imebadilika na kua November 2018 ambayo inaonyesha muda sio mrefu alikua online akisoma comments zenu
Mbaba hio ni current time tu, kila member ukiingia itakuonesha hivyo hivyo, huoni hata ile greenlight ya kuonesha yupo online haipo
 
Ni kweli dunia hii kila jambo hupangwa na hutokea kwa sababu mfano magufuli alikuja kufanya jambo ambalo lilikuwa limezidi hivi unafikiri hata haya yanayotokea sijui hama HAMA IMEKUJA tu accidentally from nowhere tu, hyo imepangwa vzuri kwa ustadi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
wewe bi Dada unakumbuka ile comment yangu ya kwenye ule Uzi wa majuzi??
ukawa unataka kunichimba nimwage mboga? sasa nimekufukuria hili kaburi
ukishindwa kungamua kitu njoo Pm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…