Kuanzia 2015 Tanzania itatawaliwa "kidikteta" Ukweli huu hapa

huyu mleta mada lazima atakuwa ni kada cha chama fulani tena ni mjumbe kwa kikao cha halmashauri kuu ya chama, alijaribu kutupa mwanga ila tukaishia kung'ang'ania giza.
Cha moto tumekiona.
CCM mbele kwa mbele
Khe khe khe [emoji1787] khe khe

Umeona jinsi watanzania wanavyokuwa wagumu kuamini
 
Mwanafalsafa mmoja " Machiavel" alizungumza kuhusu utawala , msome kwa makini utapata jibu . Kiongozi mzuri ni yule anaejua kucheza na aina tatu : demokrasia , udikteta na lassez faire ( ruksa kila mtu na lake )
 
Where are you bro are you dead or alive?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…