Deogratius Isaack
Member
- Jan 16, 2019
- 31
- 39
Watu wenye maono ya kweli ni wachache sana , naomba wanajukwaa na jf kwa ujumla ungewekwa utaratibu nzuri wakutunuku zawadi ilonono kwa wale tu watakaofanya vzr katika maono mbalimbali ambayo baadae yakapata kuwa kweli.
Nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app