Deogratius Isaack
Member
- Jan 16, 2019
- 31
- 39
jamaa aliona mbali
Aiseeee huyu mkuu baada ya hapa alipotea mazima,hebu fukueni Uzi nyingine zinazomhusu za hivi Karibuni zaidi ya hapo atakuwa ni Wa kitengo au sponsor Wa Freemason asituzingue
Au alizuga kwa kupangua mada
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Umeona
Umeona
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Hahaahaha siasa ni sanaa
Mashaka ya nini? Kama umejiunga JF miaka ya karibuni basi chukua kutoka kwangu kuwa huu uzi ulindikwa 2012. Mimi ni active hasa kwenye jukwaa la siasa na nilijiunga 2008.Mimi bado nina mashaka
Hahaahaha siasa ni sanaa
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Ndiyo huu uzi wa kitambo sana naukumbuka, ulaindikwa na mzee Joseph Mauzi baba yake February mauziMashaka ya nini? Kama umejiunga JF miaka ya karibuni basi chukua kutoka kwangu kuwa huu uzi ulindikwa 2012. Mimi ni active hasa kwenye jukwaa la siasa na nilijiunga 2008.
SAWA. MAOMBI YAKO YAMETIMIABora aje huyo dikteta kuliko kuwa na democrat ambaye ni mzururaji na mbabaishaji (unconcerned).
May beAisee kumbe wanaweza kuwa nu ma senior mataga .
Wawisho kapigia mstariMungu akufumbue macho uone mwanga badala ya giza la udikteta!
tunapigania utawala wa sheria na haki, na ndio tunawataka watanzania wote pamoja na wewe tuelewe!
Tanzania ni ya watanzania wote, si ya hao unaowataja! Amka!