Kuanzia 2015 Tanzania itatawaliwa "kidikteta" Ukweli huu hapa

We miss you JK but ulituletea Jiwe ambalo halishauriki
 
Utabiri wa uliutabiri Kwa asilimia 99% . JPM jina lake uliliweka mwishoni na ndio imetokea na bado tutashuhudia Mengi kuanzia 2025 . Pia Inawezekana Jamaa akaextend mda wa kukaa madarakani mpaka2035.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…