Kuanzia 2015 Tanzania itatawaliwa "kidikteta" Ukweli huu hapa

Utabiri huu kama vile umetimia
 
Nahisi umekubal, sasa watu wapo kwenye raiti traki [emoji23][emoji23]
Ila huyu kamanda atafutwe aisee
 
Magamba kwa Lukonge,endelea na kula pensheni Mzee.
 

Karata ya dini ameicheza vyema, kaamua kucheza nao wote na wametulia.

Suala la kupoteza na kuweka wapinzani wa serikali kifungoni hilo halina haja ya kulisemea, kila mtu analijua.
 
'Alikuwa' mtu muhimu sana among the top cream ya mfumo(utawala), wale waliokuwa wakituendeshea nchi iende vipi. Kuna uwezekano hayumo tena 'ndani' katika awamu hii.'Ndani' where they decide on how the country should be moving. They operate like a cult.
Huyu jamaa itakua anatoka kitengo nyeti nchini.
 
Hapo si umezuga tu Mjomba, watu wa kitengo ukiwa nao maskani story zao hukandia Serikali ili ukijiunga nao kukandia wakudake mbeleni, tunawajua nyinyi. Ungekua sio kitengo usingechomoka Dodoma kwa Bw. Nduu kiulaini namna ile.
 
Hapo si umezuga tu Mjomba, watu wa kitengo ukiwa nao maskani story zao hukandia Serikali ili ukijiunga nao kukandia wakudake mbeleni, tunawajua nyinyi. Ungekua sio kitengo usingechomoka Dodoma kwa Bw. Nduu kiulaini namna ile.
Kudhaniwa pia sometimes kuzuri, kunasaidia mambo mengine, usikute ni kweli kamati ile walidhania, hivyo thank God, hiyo ndio pona yangu!.
P aka Mtisi.
 
Kudhaniwa pia sometimes kuzuri, kunasaidia mambo mengine, usiku ni kweli kamati ile walidhania, hivyo thank God, hiyo ndio pona yangu!.
P aka Mtisi.
Sio kwamba walipewa kimemo kutoka ☝kua huyo ni "mwenzetu" muacheni tu aende?
 
Wewe ni Mchawi. PERIOD.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…