Kuanzia 2015 Tanzania itatawaliwa "kidikteta" Ukweli huu hapa

Kuanzia 2015 Tanzania itatawaliwa "kidikteta" Ukweli huu hapa

4. Suala zima la ushawishi wa dini, endapo ataegemea dini moja basi atajikuta yupo kwenye wakati mgumu kwani atajikuta amegeuka gafla na kuwa adui wa dini nyingine hivyo kujikuta akichukua maamuzi ya kibabe ili kukabiliana na upinzani kutoka dini fulani. Suala kujiunga na dini ya mashetani au "FREEMASONS" litakuwa jambo la kawaida na watu wengi wenye kupinga serikali watatoweka na wasijulikane wapo wapi.
MKUU uliona mbali sana and here we are now
 
Haina ugumu kabisa kumtambua jamaa, na wapo wengi sana humu..
Hapo si umezuga tu Mjomba, watu wa kitengo ukiwa nao maskani story zao hukandia Serikali ili ukijiunga nao kukandia wakudake mbeleni, tunawajua nyinyi. Ungekua sio kitengo usingechomoka Dodoma kwa Bw. Nduu kiulaini namna ile.
 
Now u can see,mkuu!
Ni kweli kuwa watanzania wanategemea sura moja wapo kati ya hizo lakini hakuna sura ya udikteta hapo wote hao ni watu wa democracia kwa wingi.

Ila tukitaka tuendelee nakubaliana na wewe kuwa udikteta wafaa.ila uwe ule wakuleta maendeleo
 
Zero IQ nakuona unapita kimya kimya huku ukigonga likes kama kawaida yako,vipi unazungumziaje kuhusu huu utabiri wa ndg MAGAMBA MATATU na juu ya ukimya wake hapa jukwaani.

Tupe mtazamo wako tafadhali.

Smart guy
[emoji16][emoji16][emoji16] hapa sitii neno mkuu siyo kwangu huku niwaache wenye 100 IQ plus.
 
Back
Top Bottom