Kuanzia 2015 Tanzania itatawaliwa "kidikteta" Ukweli huu hapa

Kuanzia 2015 Tanzania itatawaliwa "kidikteta" Ukweli huu hapa

Uzi huu ulikuwa na maono ya kinabii. Hata hivyo miaka hiyo watu walilia Rais Dikteta kutokana na sarakasi zilizokuwa zinatokea nyakati zile bila aibu. Wakati mwingine Mhe Mtetezi huru yuko sahihi tulichezewa sana.
 
1.Tuambie,tuambiee unayafanya haya kwa mamlaka gani?

2.Je huyu ndio yule tulokua tukimtazamia? Ama tusibiri mtu mwingine?

Dah huwa napenda sana kuangalia ile sinema ya Yesu.
 
1.Tuambie,tuambiee unayafanya haya kwa mamlaka gani?

2.Je huyu ndio yule tulokua tukimtazamia? Ama tusibiri mtu mwingine?

Dah huwa napenda sana kuangalia ile sinema ya Yesu.
Ha ha ha ha.....
 
1.Tuambie,tuambiee unayafanya haya kwa mamlaka gani?

2.Je huyu ndio yule tulokua tukimtazamia? Ama tusibiri mtu mwingine?

Dah huwa napenda sana kuangalia ile sinema ya Yesu.
Naona tumsubirie mwingine, maana huyu hawezi kuwa tunayemtarajia. ni kijana tu wa seremala huwa anamsaidia baba yake kugongagonga misumari kwenye makabati
 
Huyu jamaa alikua "MUONAJI" duh!!
Nani kaufukua huu uzi maana kama ulisahaulika na wale waliobeza kipindi kile naona bado wapo waje watuambie wanaamini au bado wanamioyo migumu.
Uzi kuanzia alipo upost 2012....watu waliubeza na ukawa na comments kama 20 tu hadi ulipokuja kufukuliwa 2018...na unakimbiza comments sasa kuelekea buku
 
Back
Top Bottom