Kuanzia 2015 Tanzania itatawaliwa "kidikteta" Ukweli huu hapa

Salam kutoka chamwino ikulu
 
Miiko haimruhusu kufungua kanisa....huko wamejaa wasio na uwezo wa kunabii
 
Jamaaa una weledi wa ajab sanaaa.
Ktk nyuzi zako kuwa 2016 ndo ulichaguliwa chuo UDOM lakini utabiri uliufanya kabla ya mwaka huo.
Je inawezekana wew ni moja wa familia za ubishi wa uongozi ama uliyajuaje!
 
Miiko haimruhusu kufungua kanisa....huko wamejaa wasio na uwezo wa kunabii
This means jamaa ni mmoja wa jopo la wanakamati kuu ya kuongoza deep state, wana amua nani awe nani na atawale/aongoze vipi?

Haya maono yake ni hatari! Neno kwa neno yanatimia kama vile maandiko ya vitabu vya kidini(biblia na msahafu)
 
HUYU JAMAA ALIONA MBALI SANA AISEE PENGINE HUYU NI MWALIMU WAPILI MAANA SIO KWA UTABIRI HUU MZEE BABA YANI KILA ALICHOKISEMA NDIO KINACHOTOKEA KWA SASA TANZANIA JAMANI
 
Mwenyezi Mungu kweli alikufunulia ukaona mbali yani kutabiri kabla ya miaka 3 ya uchanguzi na kuzungumzia ambayo yatatokea baada ya uchanguzi na kweli yanaendelea kutokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…