Kuanzia 2015 Tanzania itatawaliwa "kidikteta" Ukweli huu hapa

Dah...Heko yako japo walikuponda hapo mwanzo lakini naamini kwa namna moja ama nyingine wamerudi kukupa mkono wa hongera.Mungu akupe maono zaidi
 
Hili bango bana, lilikuwa hevi sana
 
Hilo la kusema Tanzania itatawaliwa kidikiteta aliisema Kikwete na alikwenda mbali zaidi kwa kusema katiba ataitupa kule! Kauli ile na kilichotokea ni kwamba CCM ilikwishapanga kabla.
 
Hivi, wale tuliokupingaGA tulishakuja kuungama?
 
Wewe ni mchawi.
Ulitabiri na ilikua
 
Mkuu tunaomba maono yako juu ya yajayo hasa kuhusu huyu Mwamba Mbowe na kesi yake pamoja na mustakabali wa Katiba mpya Tanzania na uongozi wa Bi. Hangaya kwa ujumla.
 
Mkuu tunaomba maono yako juu ya yajayo hasa kuhusu huyu Mwamba Mbowe na kesi yake pamoja na mustakabali wa Katiba mpya Tanzania na uongozi wa Bi. Hangaya kwa ujumla.
Ungeomba maono kwa ujumla. Anaweza akakupa hayo ya Mbowe negatively then ukaanza kumtusi. Just thinking aloud
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…