Kuanzia 2015 Tanzania itatawaliwa "kidikteta" Ukweli huu hapa

Jamaa kapiga Pentagon😂 kuna watu walimdhihaki ila leo wamerudi mbio kumlaki na kuomba atoe mkeka wa 2021-2030 itakuwaje😂!

Je, Stiglaz goji itamalizika kweli😂???
Jamaa ni deep state member nadhani na ni informer wa ndani kabisa asie tia shaka!!Anajua kilichomo ndani ya mtungi kabla hakijaletwa mezani!!!
 
Naona mama ameanza kuhujumiwa na wateuzi wa Mwendazake!!Tatizo mama katangaza mapema kuwa atagombea 2025 na kuzua taharuki kwa wale wanaoutaka u namba moja!!!Nadhani matatizo ya uongozi wake yatatokana na yeye kutangaza nia mapema hapo 2025! Bado ni mbali tuombe uzima kabisa!kuna mengi yatajiri!!!
Mama hatogombea 2025 amini kwamba.
 
Mungu akufumbue macho uone mwanga badala ya giza la udikteta!

tunapigania utawala wa sheria na haki, na ndio tunawataka watanzania wote pamoja na wewe tuelewe!
Tanzania ni ya watanzania wote, si ya hao unaowataja! Amka!
Sasa umeamin?
 
Mama kateleza sana,,na sikumtegemea angeweza kuingizwa mkenge kiasi kile,,maana ndo kwanza ameanza kutimiza majukumu ya mwenzake aliyeondoka,na hata mwaka hajamaliza wamemuingiza mkenge na yeye kaingia na katamka mapema wakat miaka bado minne mbele,,ana kazi kubwa sana japo yeye haioni,,Siasa ni ngumu sana tofaut na yeye anavyofikilia,,aliyemshaur alikua na lengo lake na yeye hakulijua hilo,,tusubir yajayo miaka miwili kabla ya 2024,,Sio kila akupigiae makofi anamaanisha,,,
Naona mama ameanza kuhujumiwa na wateuzi wa Mwendazake!!Tatizo mama katangaza mapema kuwa atagombea 2025 na kuzua taharuki kwa wale wanaoutaka u namba moja!!!Nadhani matatizo ya uongozi wake yatatokana na yeye kutangaza nia mapema hapo 2025! Bado ni mbali tuombe uzima kabisa!kuna mengi yatajiri!!!
 
Mama kateleza sana,,na sikumtegemea angeweza kuingizwa mkenge kiasi kile,,maana ndo kwanza ameanza kutimiza majukumu ya mwenzake aliyeondoka,na hata mwaka hajamaliza wamemuingiza mkenge na yeye kaingia na katamka mapema wakat miaka bado minne mbele,,ana kazi kubwa sana japo yeye haioni,,Siasa ni ngumu sana tofaut na yeye anavyofikilia,,aliyemshaur alikua na lengo lake na yeye hakulijua hilo,,tusubir yajayo miaka miwili kabla ya 2024,,Sio kila akupigiae makofi anamaanisha,,,
Nakukubali sana kiongozi
 
Mkuu una maanisha uchaguzi ndani ya chama 2022 hapo mwakani!!Ujio wa Nchimbi ni mkakati wa mwakani kwa timu mojawapo inayotaka kujitosa kwenye kilinge 2025!!!Nadhani kuna mkakati wa kumbana mama Mbavu ndani ya kamati kuu ya CCM mapema!!Mtu pekee wa mama ndani ya Chama Ni Shaka Hamdu Shaka ambae ni mwepesi kichwani hata mimi ni smart kuliko huyu jamaa!!Daniel Chongolo ni mwanakitengo tena makini atatekeleza maelekezo ya the state kupitia kitengo cha TISS!Ndipo mama atakapojikuta mwenyewe tena mpweke asie na mfariji ndani ya chama!!!NARUDIA SHAKA HANA MSAADA KWA MAMA!!CHONGOLO NI WA KWENU NYIE NA ANAWATUMIKIA NYIE THE STATE WALA SIO MSAADA KWA MAMA KAMA WENGI WANAVODHANI!!!!Tuvuke salama mwaka chief tuone yatakayojiri !!!
 
Kuna watu wana akili za kitoto na wewe mmojawapo , nani anaweza kumbana Mwenyekiti, Amiri Jeshi Mkuu kwa hii katiba tuliokuwa nayo.. Mwedazake hata hajafikia nusu ya nguvu iliokuwepo kwenye Katiba, unadhani CCM hawalifahamu iloo.
 
Safi sana
 
Niliamua kuwa kimya,,,ila soon nitawapa ukweli wa kitakachojili baada ya uchaguzi wa 2025,,ila kuna shida kubwa sana ipo kwa uongozi uliopo baada ya kifo cha mhusika
Salute kwako mtu mzima. Asante tuko pamoja karibu urojo. 2025 tutatawaliwaje?
 
Kuna watu wana akili za kitoto na wewe mmojawapo , nani anaweza kumbana Mwenyekiti, Amiri Jeshi Mkuu kwa hii katiba tuliokuwa nayo.. Mwedazake hata hajafikia nusu ya nguvu iliokuwepo kwenye Katiba, unadhani CCM hawalifahamu iloo.
The state wana nguvu sana kuliko katiba!wakisema wakati wako umeisha na asante kwa kazi nzuri atapinga??Akiambiwa awamu yako na Mwendazake imeishia 2025 mpishe mwingine atekeleze matakwa ya nchi atakataa???Hujamsoma Thread ya Tumia akili wewe???kwamba ilikua na mama awe muda tu halafu aje yule ambae the state ilimtaka??wakaamua kumuacha baada ya kuonyesha mwelekeo mzuri!!!LABDA KAMA HUWA UNAFUMBA MACHO HUMU JF!!KAMA STATE WAMEKUKATAA NAKWAMBIA HUWEZI TOBOA HATA KAMA WEWE NI AMIRI JESHI MKUU!!!
 
Salute kwako mtu mzima. Asante tuko pamoja karibu urojo. 2025 tutatawaliwaje?
Vuguvugu si unaliona,,kuna jambo

Na taswira inaanzia alipoteuliwa Makamba Jr kuwa waziri wa Nishati,,

Subir yajayo sio mazur,,ogopa sana viongozi wanafiki,,japo Pole pole wanajifanya hawamuelewi lakin yeye ndio mkweli kati ya wote
 
Magamba matatu na tumia akili ni watu makini sana yajayo yanafurahisha type mambo yajayo baada ya mama
 
Vuguvugu si unaliona,,kuna jambo

Na taswira inaanzia alipoteuliwa Makamba Jr kuwa waziri wa Nishati,,

Subir yajayo sio mazur,,ogopa sana viongozi wanafiki,,japo Pole pole wanajifanya hawamuelewi lakin yeye ndio mkweli kati ya wote
Pole Pole anaongea kwa kujiamini sana!!Je ana Back up nyuma ya kumlinda?au Ni jeshi la mtu mmoja tu?!!Wahuni wasije wakam eliminate aiseh!!
 
Back
Top Bottom