NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Jamaa ni deep state member nadhani na ni informer wa ndani kabisa asie tia shaka!!Anajua kilichomo ndani ya mtungi kabla hakijaletwa mezani!!!Jamaa kapiga Pentagon😂 kuna watu walimdhihaki ila leo wamerudi mbio kumlaki na kuomba atoe mkeka wa 2021-2030 itakuwaje😂!
Je, Stiglaz goji itamalizika kweli😂???