Kuanzia 2015 Tanzania itatawaliwa "kidikteta" Ukweli huu hapa

Mkuu ulioteshwa? Maana ukweli wote umeonekana. Naomba utuambie haya mambo uliyajuaje au wewe ni nabii
 
Mmmm kama vile kweli
 

Kumbe humu kuna watabiri wa viwango vya almarhum Sheikh Yahya! MAGAMBA MATATU ni noma! Utabiri umetimia kwa karibu 90%
 
Huu waraka uliandikwa May 18, 2012. Ulichangiwa mara 19, ikiwemo michango miwili ya Nabii aliyeutoa. Waraka huu ulipotea hadi ulipoibuliwa leo, zaidi ya miaka sita. Ni kwa kiasi gani unaakisi hali iliyopo sasa, ni jambo la kutafakarisha!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…