titimunda
JF-Expert Member
- Nov 26, 2014
- 7,571
- 9,789
Sio illuminati.?[emoji3][emoji3]Freemason [emoji2][emoji2]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio illuminati.?[emoji3][emoji3]Freemason [emoji2][emoji2]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hahahha...nililisoma hili bandiko asubuhi.. hamadi nikaona na komenti yangu.. nikacheka tu..huyu jamaa ni kama alikuwa anaona mbele yani exactly utadhani thread ni ya leo leo
kabisa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
JF huwa unafurahisha sana, kuna wakati unaweza kuikana comment yako ya zamani kabisa.
Ila kuna watu wanaupeo mzuri wa kutabiri aisee. Andiko liko vyema sana hili.
Amegusia watu watakaompinga watapotezwa na wasijulikane walipo, nikamkumbuka sana Ben Saanane
Mimi siku zote nawaambia, hata NAPE NNAUYE na MWIGULU NCHEMBA walikuwa na SHOBO KAMA LAKO.Ogopa kabisa ID zilizoingia JF muda mrefu lakini posts zao Jukwaani hazizidi elfu moja.
====
Rais hawezi kushindwa kutimiza majukumu yake ya kikatiba na sera za Chama chake kisa tu wabaya wake watamuita majina 'udikteta'!
Atupe na majina ya 2020 basi, anaonekana mtabiri mzuri sana na ameshusha madini muhimu katika akili ya binaadamu, pengine tutapata hata kushusha pumzi kidogo.[emoji18]hahahha...nililisoma hili bandiko asubuhi.. hamadi nikaona na komenti yangu.. nikacheka tu..huyu jamaa ni kama alikuwa anaona mbele yani exactly utadhani thread ni ya leo leo
Ukiishi kwenye level ya 'Beyond Imagination' huwezi kushangaa mambo haya. Kila kinachotokea kilipangwa na kina sababu...Haya mambo unaelekea yalishapangwa kitambo kabla hayajatokea,nachotaka kujua ni akina nani wanatupangia muelekeo wa nchi.
Haya yasikukute jitahidi sana kufuata ule msemo wa Kiingereza usemao "Think before you Leap"JF huwa inafurahisha sana, kuna wakati unaweza kuikana comment yako ya zamani kabisa.
Hapana, yupo uhamishoni...Huyu mtabiri tunaye hapa tz?
Kweli kabisa mkuu, huu upepo wa ushabiki pia unachangia misimamo yetu kubadilika kwa kiasi fulaniHaya yasikukute jitahidi sana kufuata ule msemo wa Kiingereza usemao "Think before you Leap"
Hasa siasa!Watu hawajui mambo ya dunia yanapangwa miaka mingi kinachofuata ni kuchezesha matukio tu kuna watu wanatupangia maisha ss tunaishi tu.
Sawa mtabiri wetu!!Vyombo mbalimbali vitanyimwa uhuru wa kutoa mawazo yao hii itapelekea vyombo vya habari vya magharibi kumuulika nchi na hivyo hali kuwa mbaya zaidi.![]()
True, kuna watu wako behind the scene pulling the strings, wadau consiparcy theory a.k.a Awaken(woke) comunity huwa wanawaita deepstate a.k.a the elites a.k.a the powers that be a.k.a the 1%,ndo maana nasema huyu jamaa hakutabiri ila alikuwa eidha anajua mipango iliyokuwa imepangwa ama mjuvi wa kusoma trends.Hakuna kitu kinatokea tu bahati mbaya its all plan and execution.Ukiishi kwenye level ya 'Beyond Imagination' huwezi kushangaa mambo haya. Kila kinachotokea kilipangwa na kina sababu...
Hakuna nukuu 'full' ya 2012.Ukiangalia waliomnukuu huo mwaka 2012 ni kweli uliandikwa mwaka huo na haujahaririwa!!