Kuanzia 2015 Tanzania itatawaliwa "kidikteta" Ukweli huu hapa

Kuanzia 2015 Tanzania itatawaliwa "kidikteta" Ukweli huu hapa

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

JF huwa inafurahisha sana, kuna wakati unaweza kuikana comment yako ya zamani kabisa.

Ila kuna watu wanaupeo mzuri wa kutabiri aisee. Andiko liko vyema sana hili.

Amegusia watu watakaompinga watapotezwa na wasijulikane walipo, nikamkumbuka sana Ben Saanane
Nchi huwa inaendeshwa kwa mikakati iliyoandikwa sasa nyie mkiona vitu vinatokea mnavidakia juu kwa juu bila kujua!

Mleta mada huenda ni mmoja ya wana mkakati
 
Hadi Rais baada ya MAGUFULI anajulikana tayari kura huwa ni formality tu basi
True,kuna watu wako behind the scene pulling the strings,wadau consiparcy theory a.k.a Awaken(woke) comunity huwa wanawaita deepstate a.k.a the elites a.k.a the powers that be a.k.a the 1%,ndo maana nasema huyu jamaa hakutabiri ila alikuwa eidha anajua mipango iliyokuwa imepangwa ama mjuvi wa kusoma trends.Hakuna kitu kinatokea tu bahati mbaya its all plan and execution.
 
Ni kweli dunia hii kila jambo hupangwa na hutokea kwa sababu mfano Magufuli alikuja kufanya jambo ambalo lilikuwa limezidi hivi unafikiri hata haya yanayotokea sijui hama HAMA IMEKUJA tu accidentally from nowhere tu, hiyo imepangwa vizuri kwa ustadi.
True kura huwa formality tu,sio hapa hata marekani.option zenyewe mnapewa mbili tu.we hujiulizi how come taifa la watu milion 50(tz) au milioni 400(USA)wagomembea option kubwa ziwe mbili tu.
 
Rais wa Tanzania ,hujulikana kwa nyakati za wakati huo , na huandaliwa kwa shughuli maalum kutokana na hali ya nchi ,

Ni nyakati Moja tu katika historia ya Tanzania , Rais hakuwekwa na Wafia nchi , deep state nayo ni 2005 .

Makosa haya hayatajirudia tena , nchi imesharudi kwa wenyewe , na wenyewe wanajua walikosea wapi wakati wanaongoza wakatubu wakaaamua kufanya kazi pamoja na ndio wakaleta zao la JPM
 
Ni kweli dunia hii kila jambo hupangwa na hutokea kwa sababu mfano magufuli alikuja kufanya jambo ambalo lilikuwa limezidi hivi unafikiri hata haya yanayotokea sijui hama HAMA IMEKUJA tu accidentally from nowhere tu, hyo imepangwa vzuri kwa ustadi
Swali langu liko palepale hawa wanaotupangia ni akina nani?.na wanafanya hivyo kwa manufaa ya nani?.
 
Ni kweli dunia hii kila jambo hupangwa na hutokea kwa sababu mfano magufuli alikuja kufanya jambo ambalo lilikuwa limezidi hivi unafikiri hata haya yanayotokea sijui hama HAMA IMEKUJA tu accidentally from nowhere tu, hyo imepangwa vzuri kwa ustadi
Alafu shida ni kwamba wanaangalia haya yanayotokea kisha wana muatack magufuli personally,!

Hawaangalii urais kama taasisi..
 
adolfhitlernazipropagandaeslebedeutschland.jpg

Kwa nini nimeamua kusema hivi? Kuna mambo matano (5) makuu yananilazimisha kusema kuwa:
"Tanzania itatawaliwa kidikteta"
Ni vigumu sana kwa mtu asiyeona mbali kunielewa kirahisi na pia ni rahisi sana kwa anayependa demokrasia kunibeza na kuniona kama naota.

1. Kwanza kuna uwezekano mkubwa Rais ajaye ataingia madarakani kwa utata nikimaanisha kutakuwa na mizengwe katika utoaji wa matokeo kwani hali halisi inajionesha wazi kuwa kuna mvutano mkubwa wa vyama viwili na hakuna kinachokubali kuwa kimeshindwa ki-haki.Endapo mgombea wa chama tawala akashinda basi chama kikuu cha upinzani kitatumia nguvu ya umma ili kupata sapoti wakati aliyejiona kashinda kwa haki atakimbilia ikulu na kushawishi dola kulinda ushindi wake kadri wawezavyo.Tukumbuke yaliyozikumba nchi za :LIBYA, IVORY COAST, LIBERIA, NIGERIA, ZIMBABWE, KENYA, VISIWA VYA COMORO, MISRI na TUNISIA.

2. Pili ni ahadi atakazozitoa hususani zile za kushughulikia "MAFISADI". Ili kupambana na aliyekuzidi kifedha lazima uchukue fedha zake kwa nguvu hivyo atataifisha mali za waliosemekana ni wahujumu uchumi au mafisadi. Akiwa yupo kwenye hali hiyo lazima watamwinda hivyo itamgharimu kuwa dikteta katika kupambana na mafisadi ikiwa ni pamoja na kunyonga baadhi yao ili kuweka fundisho. Pia atajikuta analipa kisasi cha mateso yote yaliyompata katika harakati za kuingia ikulu.

3.Suala zima la maendeleo haliendani na kuwapa watu uhuru wa kukaa mijini na kuendeleza masuala kama ya kupiga debe, kutembeza vitu mijini, kuuza na kula madawa ya kulevya, polisi wa barabarani kupokea rushwa, maafisa wa TRA kusamehe kodi na kutoa vibali kwa njia za panya, viongozi wa serikali kutumia ofisi zao kama kampuni zao! Yote haya yatasababisha rais ajaye awe dikteta na mkatili kwa wazembe wote wanaokwamisha matarajio yake, ikiwa ni pamoja na kuwafurutisha vijana wote mijini na kuwafukuza kazi wazembe wote.

4. Suala zima la ushawishi wa dini, endapo ataegemea dini moja basi atajikuta yupo kwenye wakati mgumu kwani atajikuta amegeuka gafla na kuwa adui wa dini nyingine hivyo kujikuta akichukua maamuzi ya kibabe ili kukabiliana na upinzani kutoka dini fulani. Suala kujiunga na dini ya mashetani au "FREEMASONS" litakuwa jambo la kawaida na watu wengi wenye kupinga serikali watatoweka na wasijulikane wapo wapi.

5.Ushawishi wa nchi za magharibi; hili nalo ni tatizo ambalo nitafanya nchi isitawalike endapo Rais ajae ataamua kufuata matwakwa ya raia wake kwenye masuala la uwekezaji, ajira, ugawaji wa ardhi, kodi, na utaifishaji wa mali za umma kama viwanda, mashamba makubwa, n.k.na endapo atawageuka wananchi na kusikiliza matakwa ya nchi za magharibi basi atajikuta amepitisha sera ya ndoa za jinsia moja, biashara haramu ya siaha, urutubishaji wa nyuklia. Hali hii itapelekea wanachi waanze kumchukia na atajikuta anatumia nguvu za dola kulazimisha wananchi wakubali sera zake.

Pia kuna mambo mengine kama kuibuka vyama vya siasa vyenye nguvu vinavyotaka kumtoa madarakani kwa nguvu na atajikuta akiwasweka rumande wapinzani wengi ambapo itachafua hali ya hewa ya nchi. Pia utata wa mgawanyiko wa wabunge maana kuna kila dalili vyama viwili vyenye ushindani kugawana sehemu kubwa ya idadi ya wabunge na hivyo kumlazimisha Rais kuwa na wakati mgumu wa kuvunja bunge zaidi ya mara moja kwenye kipindi cha miaka mitano.

Pia suala la ajira litaendelea kutesa nchi na ongezeko la wasomi itakuwa pia tatizo hivyo itamlazimu kutumia sheria kali na za kibabe ili kuendesha utawala wake.

Vyombo mbalimbali vitanyimwa uhuru wa kutoa mawazo yao hii itapelekea vyombo vya habari vya magharibi kumuulika nchi na hivyo hali kuwa mbaya zaidi.

Swali la kujiuliza, Rais ajaye atakuwa nani ?

Ni vigumu kupata jibu la moja kwa moja ingawa watu wengi wanatazamia kuona sura mojawapo kati ya hizi:
- Zito Kabwe,
- Dr. Willbrod Slaa,
- Dr. Asha Rose Migiro,
- Edward Lowassa.
- Samwel Sitta
- Prof. Ibrahim Lipumba.
- Bernad Membe, na
- John Pombe Magufuli
.

Kwanini Watanzania wengi wanategemea kati ya watu hawa mmoja wapo atakuwa Rais wa Tanzania mwaka 2015?
Jibu kubwa na la msingi ni suala zima la uwajibikaji na kujituma.

Kwanini nasema hivyo?
Ukiangalia sura zote ni watu wachapa kazi, wanajituma na wenye maamuzi magumu kwa masuala nyeti ya nchi. Ingawa kila mmoja ana mapungufu yake lakini ukweli bado unabaki pale pale wanauwezo mkubwa wa kulifikisha taifa pale Watanzania wanapotaka ikiwa watatekeleza majukumu yao ipasavyo.

Bado suala la wapinzani kuungana na kumsimamisha mgombea mmoja litakuwa ni ndoto. Kwanza utofauti wa sera na mawazo yao vinakinzana. Pia kuna suala zima la itikadi ya chama na mitazamo. Wapinzani wamejifunza mengi kutoka kwa jirani zao Kenya. Hivyo hawapo tayari kuungana na kuanza kung'ang'aniana madaraka ni bora kila mmoja ashiriki kwa nguvu zake na ashinde kwa nguvu zake.
Mimi nimekuelewa,. Unaweza kurudia tena andiko Kama hili, for the next 5yrs ?? If possible please!!!!
 
Ningekutajia jina lake halisi sema naogopa BAN ya name calling. Ila wakongwe tunamfaham Mshamba Matatu Mzee wa Tanga


ndiye huyu mzee Yohana,hata kwenye kampeni akiwa Jukwaani,alikuwa anasema..'Jakaya anawabatiza kwa MAJI..'

lakini tazama nawaambieni..'huyu ajaye Hakika atawabatiza kwa MOTO.!!'
 
...Kama ulikuwa unafuatilia yaliyoendelea katika kikao cha ccm dodoma, utagundua kuwa wameshtuka na kupendekeza masuala ya coalitions katika kutawala serikali yawekwe kwenye katiba mpya.

...Possibly.

...Ni kweli. Lakini si lazima tupate rais dikteta come 2015. Well, lets wait and see.
Ha ha haa.Kumbe hii hama hama ni coalition ya kisirisiri?kumbe teyari tuna serikali mseto?!haya bhana!tusijeshangaa baadae tukapata Rais toka upinzani lakini kwa tiketi ya ccm afu..afu..baadae ndio mnabadilisha katiba uku teyari mshaijengea mazingira kuepuka unnecessary conflicts.. kwii kwi kwi!
 
Back
Top Bottom