Kuanzia 2015 Tanzania itatawaliwa "kidikteta" Ukweli huu hapa

[emoji119][emoji119][emoji119]
 
Mk Mkuu
Ndio maana mwamba kawa kimya Sasa akijua fika kuwa katiba tayari mchakato wake ushakamilika na inasubiri kupigiwa kura na wananchi tu!!?!!na ndio maana ya kukutana na mama ikulu!!?
 
T
Hoja ni "Tusubiri yajayo miaka miwili kabla ya 2024, Si Kila akupigiae makofi anamaanisha."

Kitabu kipya kije haraka, haya mambo ya kuumiza raia na mzigo wa Kodi afu watu wanazipiga na hashtakiwi popote, hata akibadilishwa Taifa halipigi hatua kimaendeleo.

Wajukuu na vitukuu watafukua makaburi kuiadhibu mifupa ilobaki, tutawaachia taaabu sana.

Mungu aingilie kati. Amen
 
100% perfect
 
Na hisi pia na hili lilitokea
 
Ni zamu ya Wazanzibar na waislamu pia, hakuna wa kuligeuza hili 2025.

Wala msipate tabu ya kujuwa nini kinakwenda kutokea 2025.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…