Kuanzia 2015 Tanzania itatawaliwa "kidikteta" Ukweli huu hapa

Grok hii ni kweli??
 
Sikuwahi kuona huu Uzi before ila baada ya kuuona Leo Kwa mara ya kwanza na kuupitia ni dhahiri mengi yaliyoandikwa yametokea na mengine yanaendelea.

Hadi naanza kujiuliza ni maono au mambo yanayoendelea Huwa yanapangwa before then wanawekwa watu kuyatekeleza na wengine kuyaishi.?

Kwasababu kilichoandikwa ni kama muandishi ni mshiriki wa script nzima 😭😭😭
 
Ulikuwa utabiri??
 
Mleta maada alichora mchoro wa maisha yetu watanzania, yote aliyoyasema tumejionea na tunaishi nayo mpaka sasa.
 
Weeeee!!!!
 
Aisee
 
Sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…