Kuanzia 2015 Tanzania itatawaliwa "kidikteta" Ukweli huu hapa

Kuanzia 2015 Tanzania itatawaliwa "kidikteta" Ukweli huu hapa

Sijui mheshimiwa alipita hapa ndio akaapa si hivi hivi, big up jamaa kama hujaedit unakichwa kinachowaza mbali sana!!
 
Sijui mheshimiwa alipita hapa ndio akaapa si hivi hivi, big up jamaa kama hujaedit unakichwa kinachowaza mbali sana!!
Nenda kwenye ile thread ambayo ninasema "Maghufuli autamani urais" ndo utaelewa vyema.
 
Nilivyo soma mistari michache ikabidi nirudi kucheki tarehe aisee 2012 ukisikia jamii forums basi ndo hii humu kuna vichwa vya hatari sana
 
Sijui mheshimiwa alipita hapa ndio akaapa si hivi hivi, big up jamaa kama hujaedit unakichwa kinachowaza mbali sana!!
Pitia hiyo link...
John Magufuli: Ninautamani urais! - JamiiForums

Kuna watu walisema haya yatatokea endapo Maghufuli atakuwa rais.

Huyu kaweka jina la Maghufuli na wengineo, halafu akasema haya yatatokea endapo mmojawapo atakuwa rais(aghufuli akiwemo)

I don't see much of a difference.
 
Duh....sitaki kuamini kama ulikua hujui JMP angekua Rais
 
Tatizo letu wa Tanzania ni vigeugeu, tunapenda kugeuza kila kitu! Alijuaje kama jpm angekua rais wakati ccm ilikua inataka kubebwa mzobamzoba
Mkuu, cheki hii comment hapo chini kwenye ule mjadala ambao jiwe alisema nautamani urais...

CHUAKACHARA said:
To be realistic, huyu anakurupuka katika maamuzi! Anakuwa driven na hisia na si reasoning! Dikteita mkubwa hafai! Anatoa maamuzi kwenye jukwaa watu wamsikie. Sawa na Mrema enzi zake. Kweli nchi hii na vichaa wa siasa!
 
1. Kwanza kuna uwezekano mkubwa Rais ajaye ataingia madarakani kwa utata nikimaanisha kutakuwa na mizengwe katika utoaji wa matokeo kwani hali halisi inajionesha wazi kuwa kuna mvutano mkubwa wa vyama viwili na hakuna kinachokubali kuwa kimeshindwa ki-haki.
Pili ni ahadi atakazozitoa hususani zile za kushughulikia "MAFISADI". Ili kupambana na aliyekuzidi kifedha lazima uchukue fedha zake kwa nguvu hivyo atataifisha mali za waliosemekana ni wahujumu uchumi au mafisadi.
Pia atajikuta analipa kisasi cha mateso yote yaliyompata katika harakati za kuingia ikulu.
litakuwa jambo la kawaida na watu wengi wenye kupinga serikali watatoweka na wasijulikane wapo wapi.
Pia kuna mambo mengine kama kuibuka vyama vya siasa vyenye nguvu vinavyotaka kumtoa madarakani kwa nguvu na atajikuta akiwasweka rumande wapinzani wengi ambapo itachafua hali ya hewa ya nchi.
Vyombo mbalimbali vitanyimwa uhuru wa kutoa mawazo yao hii itapelekea vyombo vya habari vya magharibi kumuulika nchi na hivyo hali kuwa mbaya zaidi.
Mkuu MAGAMBA MATATU, huu utabiri wako wa toka May, 2012, umetimilika sasa. Long Live JF.
 
Nenda kwenye ile thread ambayo ninasema "Maghufuli autamani urais" ndo utaelewa vyema.
Mkuu watu wengi wanaamini kuwa JPM amekuwa raisi kwa bahati mbaya, ila watu walio kwenye system walikuwa wanajua kila kitu kabla, kuna mtu kipindi cha uchaguzi 2015 aliniambia tangu 2012 JPM alipewa ulinzi zaidi na mwaka huo huo alikoswa koswa na sumu kwenye msosi,ukilinganisha na utabiri wa huyu jamaa ni 2012,ukiunganisha dots utapata majibu mengi.
 
Very true mkuu, kuna member humu titimunda , yeye aliuliza akitaka kujuwa "ni nani huyo mwenye kuamuwa?"

Ukizingatia hilo la kuwekewa sumu na uamuzi wa kumpatia ulinzi toka kipindi cha nyuma.
 
Duuu nabii huyu kapotelea wapi ?

Au ni Deep state alikuwa kazini akaamua kutoa ya chumbani sebuleni ?
 
Nilivyo soma mistari michache ikabidi nirudi kucheki tarehe aisee 2012 ukisikia jamii forums basi ndo hii humu kuna vichwa vya hatari sana
Pasco mwenyewe kabla ya mchakato alisema jpm atakuwa Raisi na akawa kweli
 
Very true mkuu, kuna member humu titimunda , yeye aliuliza akitaka kujuwa "ni nani huyo mwenye kuamuwa?"

Ukizingatia hilo la kuwekewa sumu na uamuzi wa kumpatia ulinzi toka kipindi cha nyuma.
Mkuu ni kikosi fulani cha wazee wa nchi kikiongozwa na maraisi wastaafu,wazee wa chama na wakuu wa usalama(upande wa Makumbusho na upande wa jeshi),na mtu huwa anaandaliwa mapema Sana,tofauti ilikuja 2005 ambapo kuna kundi ndani ya chama likiongozwa na EL na Rostam walim overtake Mkapa ndo makoteo ya kupatikana JK lakini si kabla ya hapo na baada ya hapo waliapa isitokee tena ndo kisa cha kumtosa EL kwenye system mapema(2008),ili kutoleta tena serikali iliyojaa masela masela na wanyonya damu wa rasilimali.
 
Yametimia...huyu sasa siyo dikteta tu bali Makamu wa Shetani kama si Shetani mwenyewe...mzinzi, mbadhirifu wa mali ya Umma, mwongo, mchonganishi, mwuaji, mtekaji...Ibilisi 100%
Duuuu [emoji15]

[emoji119] Salalee !
 
Mkuu ni kikosi fulani cha wazee wa nchi kikiongozwa na maraisi wastaafu,wazee wa chama na wakuu wa usalama(upande wa Makumbusho na upande wa jeshi),na mtu huwa anaandaliwa mapema Sana,tofauti ilikuja 2005 ambapo kuna kundi ndani ya chama likiongozwa na EL na Rostam walim overtake Mkapa ndo makoteo ya kupatikana JK lakini si kabla ya hapo na baada ya hapo waliapa isitokee tena ndo kisa cha kumtosa EL kwenye system mapema(2008),ili kutoleta tena serikali iliyojaa masela masela na wanyonya damu wa rasilimali.
Shukran.
 
Back
Top Bottom