Kuanzia 2015 Tanzania itatawaliwa "kidikteta" Ukweli huu hapa

Huyu britanicca nyuzi na post zake usomage kwa umakini sana lazima utatoka na moja la ziada.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa majasusi uchwara kama wangekuwa na akili nyingi wangeisaidia hii nchi iondokane na umasikini wa kutisha.

Sio kuja na vijimafumbo vya kuokoteza ili waonekane wanajua yaliyo sirini. Oops, but then again, nimekumbuka hii ni Tanganyika.
 
Huyu jamaa britanicca
alipaswa awe kule, basi tuu, ila pia kwa vile huwezi jua who is who, you never know.
P
Lakin hata wewe najua upo karibu na jiko jengo lile jeupe mithiri ya meli, ambako mtu akitaka kukuona lazima aje siku za kawaida isipokuwa ijumaa maana akijichanganya watamuona jumatatu,
Alafu majina mnaitana chief, simu haziruhusiwi
 
There is no such a thing as top secrecy. Mambo yanatokea ili mambo yaweze kwenda.
Mkuu Rohojin, kwenye siri, kuna confidential, secret, ina seal nyeusi, classified secret ina seal ya blue na top secret in seal nyekundu. Hivyo top secret zipo, hizo data za Katto alizonazo britanicca ni top secret.

Na sitakuja kuisema sehem maana wengi hawaijui, anayejua hii siri ni wachache ambao walipanga kwa Mzee Telemoni uswahilini miaka ya 76-79 jirani na Machalila, R.I.P stanslas, Yoseph ugua pole majeraha ya mapanga,
Hawa ndo wanamjua katto lakin ngoja niishie hapaaaa
 
Ile ilikuwa kamba tuu, ila kiukweli mimi nilipaswa niwe miongoni mwao kwa sababu dingi na maza wote ni watu wao, kosa langu ni kuipenda fani ya Utangazaji mpaka kesho.
P.
 
Mkuu Rohojin, kwenye siri, kuna confidential, secret, ina seal nyeusi, classified secret ina seal ya blue na top secret in seal nyekundu. Hivyo top secret zipo, hizo data za Katto alizonazo britanicca ni top secret.
P
Acheni utani asee...iliwezekana vipi kuwa kama ilivyo sasa Kama ishu ndio ilikuwa hivyo? Mimi hii kitu ngumu kuamini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na sitakuja kuisema sehem maana wengi hawaijui, anayejua hii siri ni wachache ambao walipanga kwa Mzee Telemoni uswahilini miaka ya 76-79 jirani na Machalila, R.I.P stanslas, Yoseph ugua pole majeraha ya mapanga,
Hawa ndo wanamjua katto lakin ngoja niishie hapaaaa
Wewe Mkuu britanicca, una hatari sana, ukiisha anza kutaja majina, mitaa na miaka, hizi ni lead za kuwaongoza watu kwa Katto, haya ya kutaja Mzee Telemoni uswahilini miaka ya 76-79 jirani na Machalila, R.I.P stanslas, Yoseph etc etc ya nini?. Nimeshauri ukimtaja Katto, just say Katto, not a word more, not a word less.
P
 
Back
Top Bottom