sawima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 5,496
- 8,491
Haha kwahiyo vilaza ndio wanaishi miaka mingi?Huyu ashakufa nadhani. Hawezi kuwa na akili kubwa namna hii akaishi muda mrefu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha kwahiyo vilaza ndio wanaishi miaka mingi?Huyu ashakufa nadhani. Hawezi kuwa na akili kubwa namna hii akaishi muda mrefu.
Ndiyo mkuu. Huyu jamaa alikuwa anajua. Siyo kitu Cha kawaida mtu akaeleza mambo ya miaka 3 ijayo kwa usahihi namna hii. Lazima alikuwa genius Sana.Haha kwahiyo vilaza ndio wanaishi miaka mingi?
Hayupo rena duniani huyu. Ashatangulia peponi.
JPM atashinda 2020Manabii bado wapo?
Kuu Magamba matatu jiwe ataweza kushinda urais 2020????
... hakuna marefu yasiyo na ncha!Tufukue makaburi...
[emoji26]... hakuna marefu yasiyo na ncha!