johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Labda wanataka wakusanye trln 3 mwezi huu.Wanataka wakusanye Ili wakale Kwa kujipimia!
Utajua muda ukifika!Watupishe. Sasa muuza mboga sokoni risiti ya nini.
Tupo hapa hapa tarehe 1 si ni baada ya next week tu.Utajua muda ukifika!
Ndio maana yake!Kwa wauzaji wenye sifa na wenye efd mashine