Ndio hapo sasa...naona watu wamevurugwa....Si tulikubaliana kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio hapo sasa...naona watu wamevurugwa....Si tulikubaliana kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.
Mamlaka ya Mapato TRA imesema itaendesha msako mkali kwa wote wanaouza na kununua bidhaa bila kuwa na risiti.
Msako utaanza rasmi tarehe 01/02/2022.
Mjulishe na mwenzako kama nilivyowajulisha hapa Jf.
Maendeleo hayana vyama!
Unahisi TRA wamejituma?Mama hataki hela za dhuluma
TRA pambaneni
Refer kauli ya SSH kuhusu ukusanyaji wa kodiUnahisi TRA wamejituma?
Na tukatoa hesabu za makusanyo ambayo hayajawahi kukusanywa bila kutumia mabavu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ah jamani si tulikubaliana hatutumii mabavu awamu hii [emoji38][emoji38][emoji38]
Mliambiwa hewala yashinda utumwaAh jamani si tulikubaliana hatutumii mabavu awamu hii 😆😆😆
Hao TRA kama walichemka kukamata watu wasio na risiti kipindi cha Magufuli sidhani kama kipindi cha huyu bibi wa kikojani wataweza.Mamlaka ya Mapato TRA imesema itaendesha msako mkali kwa wote wanaouza na kununua bidhaa bila kuwa na risiti.
Msako utaanza rasmi tarehe 01/02/2022.
Mjulishe na mwenzako kama nilivyowajulisha hapa JF.
Maendeleo hayana vyama!
Watatukuta hatwendi Burundi.Tupo hapa hapa tarehe 1 si ni baada ya next week tu.