Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Nimepata habari isiyo na shaka kuwa fomu za PEPMIS zitapaswa kujazwa na watumishi wa umma kila wiki
Kama sasa hivi tu watumishi wanajaza kila mwezi wanakuwa busy je, ikiwa watumishi watajaza kila wiki itakuwaje? Wananchi mjipange.
Jambo jingine. Serikali igawe laptops kwa watumishi wote maana simu hazina uwezo kumaliza kazi zote kwa ufasaha. Itoe mafunzo ya kutumia computer na kujaza PEPMIS.
Serikali ipeleke internet vijiji vyote maana watumishi wanaoishi vijijini wanatumia nauli kwenda wilayani kujaza PEPMIS. Au iweke fungu la nauli na malazi kwa watumishi wanapokwenda mjini kujaza PEPMIS.
MWISHO, PEPMIS haijaleta tija yoyote tangu ianzishwe hapa nchini. Iendelee kuwepo ila isiwe lazima. Watumie tu wale watakaotaka.