Pesanyingi
JF-Expert Member
- Apr 15, 2023
- 1,157
- 1,983
Watumishi mtapata sana tabu, bora sisi boda boda maisha yanasonga mfumo wetu ni mmoja tu kutafuta pesa. Ukiwa mtu-mishi hujuwi unatafuta nini kwenye maisha wewe ni kusubiri uletewe cha kufanya. Nina abiria wangu kituo X kada ya afya Jana alikuwa analalama na kusonya juu ya huo mfumo sijuwi pepimiso.
Serikali ingeanza kuweka mazingira wezeshi ya kutumia hiyo mifumo kama laptop na internet. Sasa bando hadi yule mtumishi wa serikali za mitaa kule chini kabisa hakuna mtandao wa uhakika na ka pesa kake kadogo inabidi aingie mfukoni kununua bando,na siyo nyanya zake na dagaa kujinusuru na njaa kali walizokuwa nazo.
Hiyo mifumo ingewekwa kwa wana siasa kuwapima kiwango cha kuleta maendeleo kwenye majimbo yao.