Kuanzia Julai 2024 watumishi watakuwa busy kujaza PEPMIS. Mnaotaka huduma ofisi za umma kazi mnayo

Watumishi mtapata sana tabu, bora sisi boda boda maisha yanasonga mfumo wetu ni mmoja tu kutafuta pesa. Ukiwa mtu-mishi hujuwi unatafuta nini kwenye maisha wewe ni kusubiri uletewe cha kufanya. Nina abiria wangu kituo X kada ya afya Jana alikuwa analalama na kusonya juu ya huo mfumo sijuwi pepimiso.
Serikali ingeanza kuweka mazingira wezeshi ya kutumia hiyo mifumo kama laptop na internet. Sasa bando hadi yule mtumishi wa serikali za mitaa kule chini kabisa hakuna mtandao wa uhakika na ka pesa kake kadogo inabidi aingie mfukoni kununua bando,na siyo nyanya zake na dagaa kujinusuru na njaa kali walizokuwa nazo.
Hiyo mifumo ingewekwa kwa wana siasa kuwapima kiwango cha kuleta maendeleo kwenye majimbo yao.
 
Mabadiliko huja taratibu.

PEPMIS iendelee kuwepo ili watu wasibweteke kukaakaa tu ofisini bila malengo.

PEPEMIS angalau inawabana watu kuweka malengo na kuyatekeleza

Kuhusu habari za Internet na Laptop, PEPMIS itachochea watu kuizoea internet na kununua laptop na hivyo kuinua kiwango cha wananchi kutumia TEHAMA.

Nampongeza Samia kwa kuja na ishu ya PEPMIS maana inasaidia kwenye accountability na watu kuacha kufanya kazi kwa mazoea.

Ila hizo changamoto za elimu, upatikanaji wa internet na computer serikali ione haja ya kusaidia. Kwa mfano iendelee kuonoda kodi katika vufaa vya computer ili ziletwe computer nying nchini. Na pia serikali ione haja ya kupunguza gharama za internet.
 
Kutwa nzima mtumishi yupo insta na TikTok Ila linapokuja suala la kazi yake anaanza malalamiko, watumishi wa nchi hii hamjawahi kuwa na akili timamu.
 
PEPMIS NI NZURI SANA KM HUJAWAHI KUITUMIA NA UNASIKIA TU KWA WATU BASI ACHA KUIKOSOA KATIKA VITU SERIKALI IMEPATIA BASI HUO MFUMO HAUNA UGUMU WOWOTE NI RAHISI SANA WATU WAKIELEKEZWA KWA UFASAHA WANAELEWA VIZURI SANA NA INAPUNGUZA USUMBUFU MWINGI SANA
Mim kama supervisor pale pa kumpa score mtumishi ndio pananishida kabsaa
 
Watumishi mtapata sana tabu, bora sisi boda boda maisha yanasonga mfumo wetu ni mmoja tu kutafuta pesa. Ukiwa mtu-mishi hujuwi unatafuta nini kwenye maisha wewe ni kusubiri uletewe cha kufanya. Nina abiria wangu kituo X kada ya afya Jana alikuwa analalama na kusonya juu ya huo mfumo sijuwi pepimiso.
Serikali ingeanza kuweka mazingira wezeshi ya kutumia hiyo mifumo kama laptop na internet. Sasa bando hadi yule mtumishi wa serikali za mitaa kule chini kabisa hakuna mtandao wa uhakika na ka pesa kake kadogo inabidi aingie mfukoni kununua bando,na siyo nyanya zake na dagaa kujinusuru na njaa kali walizokuwa nazo.
Hiyo mifumo ingewekwa kwa wana siasa kuwapima kiwango cha kuleta maendeleo kwenye majimbo yao.
Bodaboda zenyewe tunawapa sisi...Uniletee kutwa elf7 nikapat3 gambe
 
Tuacheni tupige hela sisi wenye stationery. Wanaowatarajia kujaza hawajui hata kushika mouse. Serikali ya hovyo.
 
Nimepata habari isiyo na shaka kuwa fomu za PEPMIS zitapaswa kujazwa na watumishi wa umma kila wiki
Kama sasa hivi tu watumishi wanajaza kila mwezi wanakuwa busy je, ikiwa watumishi watajaza kila wiki itakuwaje? Wananchi mjipange.

Jambo jingine. Serikali igawe laptops kwa watumishi wote maana simu hazina uwezo kumaliza kazi zote kwa ufasaha. Itoe mafunzo ya kutumia computer na kujaza PEPMIS.

Serikali ipeleke internet vijiji vyote maana watumishi wanaoishi vijijini wanatumia nauli kwenda wilayani kujaza PEPMIS. Au iweke fungu la nauli na malazi kwa watumishi wanapokwenda mjini kujaza PEPMIS.

MWISHO, PEPMIS haijaleta tija yoyote tangu ianzishwe hapa nchini. Iendelee kuwepo ila isiwe lazima. Watumie tu wale watakaotaka.
PEPMIS inawapa mamlaka wale supervisor maana ni lazm mtumishi wa chini aelewane naye nje ya hapo watawarole back mpaka wakome
 
Nasikia kuna mtumishi alifungiwa mshahara mwezi ambao mkewe kajifungua kwa operation mume hana hata senti sababu za hiyo puppymis
 
PEPMIS NI NZURI SANA KM HUJAWAHI KUITUMIA NA UNASIKIA TU KWA WATU BASI ACHA KUIKOSOA KATIKA VITU SERIKALI IMEPATIA BASI HUO MFUMO HAUNA UGUMU WOWOTE NI RAHISI SANA WATU WAKIELEKEZWA KWA UFASAHA WANAELEWA VIZURI SANA NA INAPUNGUZA USUMBUFU MWINGI SANA
PEPMIS,itafanya watu wa concentrate na kuandaa documents za kujaza kwenye mfumo na sio kuifanya KAZI Kwa ufasaha maana mtumishi atatambuliwa na mfumo kuwa kafanya KAZI.
 
Mabadiliko huja taratibu.

PEPMIS iendelee kuwepo ili watu wasibweteke kukaakaa tu ofisini bila malengo.

PEPEMIS angalau inawabana watu kuweka malengo na kuyatekeleza

Kuhusu habari za Internet na Laptop, PEPMIS itachochea watu kuizoea internet na kununua laptop na hivyo kuinua kiwango cha wananchi kutumia TEHAMA.

Nampongeza Samia kwa kuja na ishu ya PEPMIS maana inasaidia kwenye accountability na watu kuacha kufanya kazi kwa mazoea.

Ila hizo changamoto za elimu, upatikanaji wa internet na computer serikali ione haja ya kusaidia. Kwa mfano iendelee kuonoda kodi katika vufaa vya computer ili ziletwe computer nying nchini. Na pia serikali ione haja ya kupunguza gharama za internet.
Hayo malengo yatatekelezwa vzur sana kwenye documents na sio uhalisia,nakwambia from my experience.
 
Kuna muda inabidi utafakari sana mambo ya hii nchi inaweza isiwe shida mfumo bali wanaosimamia mfumo. Huu ni mwezi wa tatu sasa watu hatupokei mshahara na tunajaza majukumu yetu kama utaratibu unavyotaka ila ukienda kwa afisa utumishi anakwambia upandishe majukumu ndio mishahara itawekwa......hapo ndio unajiuliza hivi huyu anafuatilia anachoongea au maana kila mwezi ni yale yale yanajirudia halafu unakuja kusikia kiongozi amefanya ujinga.......inafikirisha sana.
 
Back
Top Bottom