MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 19,057
- 39,387
Hivi huyu ronaldo ana impact gani na mechi kubwa ?
Hivi mechi gani kubwa Ronaldo kawa man of the match ??
Kila nikiangalia ronaldo mechi kubwa ni mavi tu
Ile mechi na dortimund aliishia kufichwa na schmeizer mechi nzima mwisho wa mechi wanakula goli nne
Ukija na bayern munich aibu niliona mimi jinsi anavyofichwa na Philipe lahm alimuiba kabisa
hawa liverpool ndio walimficha ronaldo mbaya zaidi alifichwa na kolo toure huyu aliyeisha mwishoni akapewa goli la penati tena hakusababisha yeye
Mechi ya mwisho walipokutana na barcelona mwisho wa mechi Ronaldo alionekana akimwambia benzema "we were all shit"
alitaka nani akusaidie
wote mashahidi kombe la dunia jamaa alichofanya alibahatika goli moja akatoka makundi hakuwa na positive impact hata kwa ghana
Ronaldo hatembei na mpira siku hizi labda uzee umemfika akinyimwa pasi anatukana analalama mpaka vyombo vya habari vinajua hilo
He is overrated player
Unajua jana alikuwaje pale Vicente Cardelon aibu niliona mimi
Katika mechi saba alizokutana na Ateltico ameshinda goli moja msimu huu sitaki kuzungumzia fainali ya Uefa msimu uliopita alisubiri penati ndio avue nguo zake uwanjani baada ya kukutana na wanaume
updates

Kama kichwa cha habari kinavyosema huyu Cristiano ronaldo haniwezi kabisa
Ratiba yangu kwa siku itakua hivi
Nadamka alfajiri nakimbia baharini kutafuta pumzi hadi saa tatu narudi home napata chai nahamia gym natafuta stamina na kuongeza nguvu
Mchana baada ya chakula nafanya mazoezi ya kupigana kulia na kulaumu
Jioni nafanya mazoezi ya kupiga penati kupiga faulo na kujiangusha
baada ya hapo madrid wanipange waniamini pasi zote zije kwangu penati zote nipewe mimi
nikinyimwa pasi nalia na kutukana mchezaji wa timu pinzani akiniudhi nampiga mateke na ngumi.