Kuanzia leo hii sitaki ubishano wa Ronaldo na Messi nani mkali

Kuanzia leo hii sitaki ubishano wa Ronaldo na Messi nani mkali

MO11

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2014
Posts
19,057
Reaction score
39,387
Hivi huyu ronaldo ana impact gani na mechi kubwa ?
Hivi mechi gani kubwa Ronaldo kawa man of the match ??
Kila nikiangalia ronaldo mechi kubwa ni mavi tu

Ile mechi na dortimund aliishia kufichwa na schmeizer mechi nzima mwisho wa mechi wanakula goli nne

Ukija na bayern munich aibu niliona mimi jinsi anavyofichwa na Philipe lahm alimuiba kabisa

hawa liverpool ndio walimficha ronaldo mbaya zaidi alifichwa na kolo toure huyu aliyeisha mwishoni akapewa goli la penati tena hakusababisha yeye

Mechi ya mwisho walipokutana na barcelona mwisho wa mechi Ronaldo alionekana akimwambia benzema "we were all shit"
alitaka nani akusaidie

wote mashahidi kombe la dunia jamaa alichofanya alibahatika goli moja akatoka makundi hakuwa na positive impact hata kwa ghana

Ronaldo hatembei na mpira siku hizi labda uzee umemfika akinyimwa pasi anatukana analalama mpaka vyombo vya habari vinajua hilo

He is overrated player

Unajua jana alikuwaje pale Vicente Cardelon aibu niliona mimi
Katika mechi saba alizokutana na Ateltico ameshinda goli moja msimu huu sitaki kuzungumzia fainali ya Uefa msimu uliopita alisubiri penati ndio avue nguo zake uwanjani baada ya kukutana na wanaume

updates

Kama kichwa cha habari kinavyosema huyu Cristiano ronaldo haniwezi kabisa

Ratiba yangu kwa siku itakua hivi

Nadamka alfajiri nakimbia baharini kutafuta pumzi hadi saa tatu narudi home napata chai nahamia gym natafuta stamina na kuongeza nguvu

Mchana baada ya chakula nafanya mazoezi ya kupigana kulia na kulaumu

Jioni nafanya mazoezi ya kupiga penati kupiga faulo na kujiangusha

baada ya hapo madrid wanipange waniamini pasi zote zije kwangu penati zote nipewe mimi
nikinyimwa pasi nalia na kutukana mchezaji wa timu pinzani akiniudhi nampiga mateke na ngumi.
 
Hivyo hayo magoli 300 na hat tricks za kumwaga alizofunga huko alikuwa anazifunga timu gani mkuu?
 
Embu taja tiku kubwa yoyote ulaya ambayp c.ronaldo hahawai kuifunga?
Hvi mpira nyie uwa mnaangalia upi.?
 
hata hii mada ni ubishi tayari umeanzisha,
 
Embu taja tiku kubwa yoyote ulaya ambayp c.ronaldo hahawai kuifunga?
Hvi mpira nyie uwa mnaangalia upi.?

Hivyo hayo magoli 300 na hat tricks za kumwaga alizofunga huko alikuwa anazifunga timu gani mkuu?

nimewapa fact hapo la liga siiangalii ila uefa naangalia ndio maana nimewatajia mechi kubwa ambazo ronaldo ni mavi sasa mechi ipi kubwa ronaldo kafanya vizuri mnakuja na taarabu zenu hapa tokeni
 
watu wanapenda kuminyaaaaana wakati ukweli unajulikana
 
Hivyo hayo magoli 300 na hat tricks za kumwaga alizofunga huko alikuwa anazifunga timu gani mkuu?

timu ipi kubwa kaifunga hatrick ?
 
Hutaki ubishano halafu unakuja kuandika pumba hapa
 
nyie mnaacha kuwadiscuss huko akina okwi, tambwe na wengineo mnakalia akina ronaldo na messi hayo sio maji yenu!! maji marefu hayo!!! njoo na opta statistics ndo utaeleweka hapa..
 
nyie mnaacha kuwadiscuss huko akina okwi, tambwe na wengineo mnakalia akina ronaldo na messi hayo sio maji yenu!! maji marefu hayo!!! njoo na opta statistics ndo utaeleweka hapa..

Mpira sio fani yako
 
Ronaldo limebak jina tu ila hamna kitu kama kugunga Tambwe anafunga
 
How many goals did Cristiano Ronaldo score against YOUR club?

18 - Sevilla
15 - Atletico Madrid, Barcelona, Getafe

14 - Atletico Bilbao
13 - Malaga
12 - Celta Vigo, Levante
11 - Villarreal, Granada
10 - Osasuna
9 - Aston Villa, Valencia, Rayo Vallecano, Real Sociedad, Deportivo
8 - Tottenham
7 - Schalke, Ajax, Zaragoza, Mallorca, Elche, Almeria, Fulham, Wigan
6 - Racing Santander, Galatasaray, Arsenal, Bolton, Newcastle, Portsmouth
5 - Everton, Manchester City, West Ham, Middlesbrough
4 - Bayern Munich, Marseille, Lyon, Xerez, Espanyol, Derby, West Brom, Reading
3 - FC Copenhagen, Borussia Dortmund, Roma, Juventus, CSKA Moscow, Real Betis, Valldolid, Dinamo Moscow, Liverpool, Blackburn
2 - Ludogorets, AC Milan, Sporting Lisbon, Basle, Zurich, Eibar, Gijon, Hercules, APOEL, Southampton, Birmingham, Stoke, Hull, Manchester United, Watford
1 - Auxerre, Inter, Gamba Osaka, Porto, Murcia, Tenerife, Cordoba, Ponferradina, Debreceni, Sunderland, Charlton, Chelsea, Millwall, Exeter



MO11 ,Kama humpendi mtu sometimes bora ukae kimya kuliko kuongea pumba ,soma zaidi


Cristiano Ronaldo thrilled the Bernabeu with five goals against Granada... but which club have suffered most at the hands of the prolific Portuguese? - | Daily Mail Online


Cristiano Ronaldo scored five goals against Granada, and Real Madrid star has more goals this season than 53 of the 98 teams in Europe's top five leagues- | Daily Mail Online
 
Back
Top Bottom